album cover

Mawazo

4Afro-Beat2024
album cover
Mawazo was released on May 28, 2024 by OKETCHMUSIC as a part of the album Mawazo - Single
ReleasedMay 28, 2024
LabelOKETCHMUSIC
LanguageEnglish
BPM153
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Hello milliane, you made another hit
Hello mama, ni mimi mwananao
Leo nimekopa ka vocha, nijue hali yako
Ondoa shaka, me ni mzima wa afya
Mwambie baba, nimemkumbuka sana
Huku maisha magumu, sana naomba mniombee
Ni sije kata tamaa
Muda mwingine , na kosa ata buku
Chakula hadi nigongee
Ah mmmmh
Na hela ya pango na daiwa
Ndani kila kitu kimekwisha
Matatizo kila kukicha
Yana nizidia , oh yani
Mawazo
Mawazo
Mawazo
Mawazo
Mama, oh
Mawazo
Mawazo
Mawazo
Mmmh
Mawazo
Mwanao nimekonda
Sura nulu imekosa
Unavyo nisikia
Ndo jana nimepona
Mkiona nko kimya
So kama si wapendi
Ugumu wa maisha
Ndo una tusepareti
Japo na pambana
Na pambana
Ila mambo bado
Bado, bado
Na hela ya pango na daiwa
Ndani kila kitu kimekwisha
Matqtizo kila kukicha
Yana nizidia
Oh, yani
Mawazo
Mawazo
Mawazo
Mawazo
Mama, oh
Mawazo
Mawazo
Mawazo
Mmmh
Mawazo
Mwana nimekonda
Sura nulu imekosa
Unavyo nisikia
Ndo jana nimepona
Written by: Lameck Okech Were

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...