album cover
Dondoa
2
Music
Dondoa was released on May 31, 2024 by Black Market Records as a part of the album S.O.S
album cover
AlbumS.O.S
Release DateMay 31, 2024
LabelBlack Market Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM131

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Wenda Wazimu
Wenda Wazimu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Robert Lyomu Telewa
Robert Lyomu Telewa
Songwriter
Kidd Kevvy
Kidd Kevvy
Songwriter
Leon Mulama Shitambasi
Leon Mulama Shitambasi
Songwriter
Boaz Isoe
Boaz Isoe
Songwriter
Enrico Telewa
Enrico Telewa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Leon Mulama Shitambasi
Leon Mulama Shitambasi
Engineer
99 Mellow
Producer

Lyrics

Siezi taka kua wewe
Mbona unataka kua Mimi
Ni heri nichome mambichwa kuliko Joo jikachome maini
Alijifanya mjanja dondoa Kaa mahindi
Nilimminyia ngoko akapea morio iyo pongi anaipigisha remix
Morio alichukua p3 na alikua anajifanya nigri
Rada ni wincha asha mambichwa rada ya kwako ni nigri
Hawa mangoko wako Kwa siko wanataka kua ririi
Siezi simpia ngoko Kwa mboto ana sura kumi na mbili
Najua ameingia saa mbaya
Wanafyat juu lazima nimash up
Marijuana imeniseti Kwa Maya
Na bado naiva Kwa stenje
Mii ni mjinga usiniite ulaya
Juu ya kidali miututha kimenje
Sina uzuri unaniona vibaya
Kwani nani anapenda kinenge
Amecarry ungethani Mariah
Acha pombe silambi kinembe
Ukishikwa na kiwajakoyah
Ukijaribu kuskiza manjegee
Na huna maganji Kwa pori ni kama unapigia tu debe
Na huna maganji Kwa pori ni kama unapigia tu debe
Mii adi siezi bishana na wewe
Instrumental zenu n za Tubidy
Mii narisk ikitii pia ni fiti ikikataa ni fiti yaani Iko tu fiti
Nna wachache sana naamini na sora sijui bado anarudi lini
Nkifunga Ziggy ni we top
Akikaa square aingie box
Nilijoin nikatoboa dots saa nini ulitaka niduu
Unamulikisha mulla na Niko kidali ulitaka niduu
Nikifinya yee uniskuma mbali analia ati ngoja kiasi nisusuu
Ukipata nyamaza usiwai jitangaza atujali ata utake ku proove
Mbogi unajua Iko juu, love haaiishangi ni true shh ngojaa
Unauliza who? Hana ngoko ni collection ya shoes ngoja ni wa uduu sikujua ata ni manzi
Ya you hmmh chotwa
Ako majuu, yoh alipelekwa na troup hmmh order
Nipate nikizita ndani
Tupate tukizoza nditni
Morio aliseti kawada kwa jua akadunda ni kama maiti
Ngoko wa kwako na kama amejipa hadharani namguza matiti
Design nakuanga na bars kibao kuliko adi cell za kamiti
Mbang&#39a alikujia tango Niko maviitu naitisha risiti
Tupatanie baadae ama ni vipi apo sawa mambo fiti
Nawawacha tuu wako filthy
Tipsy kama wako chingri
Nakuanga smoker kama chimney
Nawasha nnei baada ya mbili
Ni juzi nlivunja kitanda kidogo ikakua ni kitendawili
Anadai nlimguzanga roho ivi baada ya kumguzaga mwili
Chali Yako ana Fujo ya nini na hapa Jo atakanyagwa chini
Badala nishinde nikibeef nisake kajaba nikule mainii
Siezi taka kua wewe
Mbona unataka kua Mimi
Ni heri nichome mambichwa kuliko Joo jikachome maini
Alijifanya mjanja dondoa Kaa mahindi
Nilimminyia ngoko akapea morio iyo pongi anaipigisha remix
Morio alichukua p3 na alikua anajifanya nigri
Rada ni wincha asha mambichwa rada ya kwako ni nigri
Hawa mangoko wako Kwa siko wanataka kua ririi
Siezi simpia ngoko Kwa mboto ana sura kumi na mbili
Written by: Boaz Isoe, Enrico Telewa, Kidd Kevvy, Leon Mulama Shitambasi, Robert Lyomu Telewa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...