album cover
Wait
Music
Wait was released on May 31, 2024 by Black Market Records as a part of the album S.O.S
album cover
AlbumS.O.S
Release DateMay 31, 2024
LabelBlack Market Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM61

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Wenda Wazimu
Wenda Wazimu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidd Kevvy
Kidd Kevvy
Songwriter
Leon Mulama
Leon Mulama
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
99 Mellow
Producer
Leon Mulama
Leon Mulama
Engineer

Lyrics

Chungana Mamorio Wafake
I told you I'm Allergic To hate
Niko Busy najaza My plate, Na kama Si ganji Siwezi Relate
Kuomoka lazima UWAIT
Destiny ikuje Na fate
Mello Anacheza Na Base, Na kama Ni meso Ikuje Mpesa
Huh WAIT, Naskia Mbleina Kwa gate (ni nani)
Huh Wait, aty Mambleina wanadai Kuturate (akina nani)
Huh Wait, Ni mavidevu Si hatudebate
Huh Wait, Nikiwasha mangwai Nathigitha maneighbour
Alibebwa Ufala Tukajua Ni waiter Juu Ya Weight huh
Yiusuka 2, 3, 4 times 2 8 huh
Huku ata kama umengau tukiamua hubake hubake huh
Uskii kwetu 3, 4 huku mapema
Ni late yo
Mi nakaza lace, si ety nakutegea
Ye ni OG Mneti mbele ya face manzi yake ndo humtetea
Nalipa broke atii na hivo ndo manzi yako ulitekewa
Kuna tofauti ya kuomba, kuombewa na kujileta
Juu ya Heshima apa utaganda sahii
After Trigger Undugu Sidai
Ikitumwa siulizi nibuyii??
Akitumwa anauliza nibuyii??
Sikujua kumbe fala ni ng'oii
Mi nashangaa vako za masaaii
Nikipoteza doh nimepoteza time hujui double ni 99
Chungana Mamorio Wafake
I told you I'm Allergic To hate
Niko Busy najaza My plate
Na kama Si ganji Siwezi Relate
Kuomoka lazima UWAIT
Destiny ikuje Na fate
Mello Anacheza Na Base, Na kama Ni meso Ikuje Mpesa
Huh WAIT, Naskia Mbleina Kwa gate (ni nani)
Huh Wait, aty Mambleina wanadai Kuturate (akina nani)
Huh Wait, Ni mavidevu Si hatudebate
Huh Wait, Nikiwasha mangwai Nathigitha maneighbour
Nikichoma nathigitha neighbours. Nikinyanya nadunga maraybuns
Uskii nilitekanga neighbour kejani ni mechi ya next na raiders
Zimeshika na niko BS Nilimteka ni no medi S
Magiz giz niko na yeye ukisema ni wako na kumbe ni wetu
Mrazi fagia kwako alafu mi nitafagia kwetu
Leo nimekuja sherehe take away najibebea Kairetu
Kisu nanolea kwangu nyama nayo ninachinjia kwenu
Mbolea imejaa kwa kitanda sura ya ngeus imejazwa na mbegu
Chungana Mamorio Wafake
I told you I'm Allergic To hate
Niko Busy najaza My plate, Na kama Si ganji Siwezi Relate
Kuomoka lazima UWAIT
Destiny ikuje Na fate
Mello Anacheza Na Base, Na kama Ni meso Ikuje Mpesa
Huh WAIT, Naskia Mbleina Kwa gate (ni nani)
Huh Wait, aty Mambleina wanadai Kuturate (akina nani)
Huh Wait, Ni mavidevu Si hatudebate
Huh Wait, Nikiwasha mangwai Nathigitha maneighbour
Written by: Kidd Kevvy, Leon Mulama
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...