album cover
Change Location
Music
Change Location was released on May 31, 2024 by Black Market Records as a part of the album S.O.S
album cover
AlbumS.O.S
Release DateMay 31, 2024
LabelBlack Market Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Wenda Wazimu
Wenda Wazimu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Leon Mulama
Leon Mulama
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
99 Mellow
Producer

Lyrics

Yoh milele nafanyia trigga ni miaka yote adi tamati
Naombanga Mungu siku itajipa, nisikue mjinga nisikue ngati
Ikijioa nahama naondoa jam
Kaaido ni shamba la mawe lakini inasaidia kutembea na fam (farm)
Alikua sharp akazoea blunts saa ni ku
Kubadilisha tu location
Akithani hatujui ye ni nani alikuja akapigwa rotation
Alisonga sana mbali mbali mbali mbali alisoma quotation
Moto daily yoh ni ganji ganji ganji ganji ndo my inspiration
Saai ni Ku
Kubadilisha tu location
Akithani hatujui ye ni nani alikuja akapigwa rotation
Alisonga sana mbali mbali mbali mbali alisoma quotation
Moto daily yoh ni ganji ganji ganji ganji ndo my inspiration
Fala anadai ye ni mhuni Kwa ground najua anajichocha
Tuliwashika ma ngoshi Kwa streets exile nikarudi ocha
Haka kashweng kanajifanya player lakini hakajui Mii ni kocha
Kwa pori natembea na nare kifaru kidogo utadhani ni pocha
Mapunguza ni Chapo dondoa mix mix ongeza mapocha
Sina masaa ya kuwaste enye imebaki nangoja omoka
Juu shughli nakula bidhaa
Rotejo naingia ithaa
Nakumbuka tukiwa na Trigga akinipatia mawaitha
Shughli ni mara mbili ukinitaja mi tu nawasili
Kama ni biz legit Mii sifanyangi biashara tumbili
Wazimu ni wale wendaa
You will like it bila kupenda
Brejin hectic alituacha nafeel Kaa last Airbender
Kubadilisha tu location
Akithani hatujui ye ni nani alikuja akapigwa rotation
Alisonga sana mbali mbali mbali mbali alisoma quotation
Moto daily yoh ni ganji ganji ganji ganji ndo my inspiration
Saai ni Ku
Kubadilisha tu location
Akithani hatujui ye ni nani alikuja akapigwa rotation
Alisonga sana mbali mbali mbali mbali alisoma quotation
Moto daily yoh ni ganji ganji ganji ganji ndo my inspiration
Sura ngumu ni Kaa wamebondaa
Makunyambi ni kama za honda
Nawabeba kushinda madondaa
Nakujenga ni utaje tu Doo ngapi
Nakuteka tukifika kejani
Miurauka kusaka more Jo money
Juu kukaa bila Hela doo no funny
Michanganywa na Doo Jo na punani
Tunacheat adi saa atukunanii
Unabanja nashindwa tu huyu nanii
Mii nakanja nipate burudanii
Saka ganji manoti zirundane
Ndo zishike nawashanga Kaa nanee
Nisafishe nsifwatwe na government
Najikaza Mii
Toka zamanii
Nikilala silali nna macho mbii
Niko rada ya huyu dada amepiga hills
Yeunimada nimada murderer
Ashapiga masafa nasafaraa
Zile siku nlikua nmeparara
Nkidai kumsesa nakwararaa
Kosa pesa unakuanga tu bongo laa
Ngoso zako n za kwenyu uko bongo laa
Wanapigwa machobo na counselor
Kubadilisha tu location
Akithani hatujui ye ni nani alikuja akapigwa rotation
Alisonga sana mbali mbali mbali mbali alisoma quotation
Moto daily yoh ni ganji ganji ganji ganji ndo my inspiration
Saai ni Ku
Kubadilisha tu location
Akithani hatujui ye ni nani alikuja akapigwa rotation
Alisonga sana mbali mbali mbali mbali alisoma quotation
Moto daily yoh ni ganji ganji ganji ganji ndo my inspiration
Written by: Leon Mulama
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...