album cover
Nei
1
Music
Nei was released on May 31, 2024 by Black Market Records as a part of the album S.O.S
album cover
AlbumS.O.S
Release DateMay 31, 2024
LabelBlack Market Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM77

Credits

PERFORMING ARTISTS
Wenda Wazimu
Wenda Wazimu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Leon Mulama
Leon Mulama
Songwriter
Robert Telewa
Robert Telewa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Leon Mulama
Leon Mulama
Engineer
99 Mellow
Producer

Lyrics

Tulitry sii thri
Ni mara nei yooh we win win win win
Vichwa ni nnei chamber imejaa yoh saa ni kill kill kill kill
Hawaezi jaribu ata kutung'ora ao sii ma G Dem boys sweet
Naa Kaa ngoko kalishaning'ora saa nafanyaje naskip
Nikiwa maprr
Mii naduu ninii ni pill pill pill pill
Natoka baesa adi baesa nalipa bill bill bill bill
Hawaezi jaribu ata kutung'ora ao sii ma G Dem boys sweet
Naa Kaa ngoko kalishaning'ora saa nafanyaje naskip
Hahaah mfuko inataka kujaza maganjii mingi ngi ngi
Kaa sii Hela sitii
Msupaa wangare anadai mitii
Akikaa fiti naeza kua kiti
Umaskini ni jela Kaamiti
Tenje Jo vile inacharge
Sauti makoti tu vile najudge
Grudge anaku wazimu ndo budge
Flani konkiii
Ukidai kukopa sibongiii
Wanaume ukuanga mawagido aakipata shweng anamback
Just a minute before tu ni embark
Tunazoza Jan to December
Saa ya ngori nakuanga tu laid back
Kula puzi kama shepherd
Nko Kwa maji chini buru shepher
Juu ya vile miukuanga kistepper
Ee ee eeh
Wanabaki hawana Cha ku say
Awa marapper wanageuka buffet
Inabaki ni ganji nachoose
Nawadishi bila hata mchuzee
Leo Yao ni yangu ya juzee
Niko busy nastack
Roundi zangu miuzipiga Kwa bank
Machobo Kaa zote wadhani zidanne
Shughli zangu lazima zidone
Teke ya Jill wathani nko highwaaay
Nipate na telvo na Kwa mumanyi mangoko wako side ways
Tulitry sii thri
Ni mara nei yooh we win win win win
Vichwa ni nnei chamber imejaa yoh saa ni kill kill kill kill
Hawaezijaribu ata kutung'ora ao sii ma G Dem boys sweet
Naa Kaa ngoko kalishaning'ora saa nafanyaje naskip
Nikiwa maprr
Mii naduu ninii ni pill pill pill pill
Natoka baesa adi baesa nalipa bill bill bill bill
Hawaezi jaribu ata kutung'ora ao sii ma G Dem boys sweet
Naa Kaa ngoko kalishaning'ora saa nafanyaje naskip
Nilikua bizz yoh last week
Saai Mii nachill yes indeed
Yee ni ong'ong'o alinitext nikamwambia zii sii next week
Ako inlove lakini na mbogi nakwambia get on your knees
Hizo ujinga ni za amapiano sii tunabond sii hatuclick
Siutulie nadungia nesta
Kama ni bizz sii best ni besster
Natekanga manzi wa kengen nikiingia area naingia na tessster
Area ni red hmmh red hmmh hot redder
Tulipita Kaa tuko nayo tu Kwa pori haikuwent it wennnter
Lawd sitakangi helper zii
Team hainaga defender hii
Fala hajakatwa ni kama kipii
Yoh zimewaka si stujikill
Akona tire Kwa pori saa akitembea Kila mtu afande
Miutumia Geisha juu wametoka ocha wasundue kipande
Ukingora unakula kibare
Ukichanganya lazima uhare
Wenda waa ati ujui wee sare
Ulijuaje mafala ukaa palee
Ukileta za hey hey Kaa farasii ukose riba unakula block
Nani alisema Mii nataka kazii ni kuzitema adi nikalock
Tulitry sii thri
Ni mara nei yooh we win win win win
Vichwa ni nnei chamber imejaa yoh saa ni kill kill kill kill
Hawaezi jaribu ata kutung'ora ao sii ma G Dem boys sweet
Naa Kaa ngoko kalishaning'ora saa nafanyaje naskip
Nikiwa maprr
Mii naduu ninii ni pill pill pill pill
Natoka baesa adi baesa nalipa bill bill bill bill
Hawaezi jaribu ata kutung'ora ao sii ma G Dem boys sweet
Naa Kaa ngoko kalishaning'ora saa nafanyaje naskip
Written by: Leon Mulama, Robert Telewa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...