album cover
Kiburi
1
Music
Kiburi was released on May 31, 2024 by Black Market Records as a part of the album S.O.S
album cover
AlbumS.O.S
Release DateMay 31, 2024
LabelBlack Market Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Wenda Wazimu
Wenda Wazimu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidd Kevvy
Kidd Kevvy
Songwriter
Leon Mulama
Leon Mulama
Songwriter
Robert Telewa
Robert Telewa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Leon Mulama Shitambasi
Leon Mulama Shitambasi
Engineer
99 Mellow
Producer

Lyrics

Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni haa mi na pigia huko bele
Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni kaa before na round hii imeongezwa size ya Kuni
Wautolewa kasoo natuma jasho reduce kiburi
Verse naeza assault ukiniinsalt ni rithe ya turi
Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni Kaa ya before na round hii imeongezwa size ya Kuni
Wautolewa kasoo natuma jasho reduce kiburi
Verse naeza assault ukiniinsalt ni rithe ya turi
VERSE 1
Nakutekea kunyi slippery Kaa sabuni
Anashindwa utaduu nini
Heri nikose ama tu nipate
Kwangu sii kwake lakini mambo zangu ubongangwa kwake
Wangu wangu teke teke siezi toka ndo akifika nipate
Daily nikona Machamp ganji ibaki the main reason
Tunareason kidesign daily hata wajai reason
Nakupea mamngazi mbili apo za Hennessy nikuache ukiwa ndizo
Nshawakill apa before tu nadai kurudia juu haikua mission
Nagutua bishop daily Nina mbogi inataka batizwa
Zenedine vipindi tunafanya vitu sii za kuachisha
Naeza kiakisha niset alafu tu naeza kipitisha
Tunachachisha zabe ya suti sii ndo tunavaa t-shirt
Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni Kaa ya before na round hii imeongezwa size ya Kuni
Wautolewa kasoo natuma jasho reduce kiburi
Verse naeza assault ukiniinsalt ni rithe ya turi
Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni Kaa ya before na round hii imeongezwa size ya Kuni
Wautolewa kasoo natuma jasho reduce kiburi
Verse naeza assault ukiniinsalt ni rithe ya turi
VERSE 2
Niliamka na thao,mamorning manzee na hangover kibao
Tuachane na story ya Jana kitu muhimu tugange yajayo
Naweza kutupa ma mia lakini siezi kutupa mambao
Nilipatana na shawty lakini manze sikujua uyo Dem ni nyang'au
Mii nataka ucheze na kitu niskie vizuri bazenga ambao
Chali yake analeta mdomo akithani ni mzaha anakula mambao
Walisema ati Jo Sina feelings Mii sitambui hizo hisia zao
Unajua Dunia ni circle Mii ukinicrosa lazima niround
Pesa sabuni ya roho nikizishika naskia urao
Staki iyo beef Haina pesa bloody fvckin kumanina zao
Ukitaka manze katembee nipate arena nipate Kwa grao
Najua kuhesabu ma mia mathao lakini nlifailingi mao
Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni Kaa ya before na round hii imeongezwa size ya Kuni
Wautolewa kasoo natuma jasho reduce kiburi
Verse naeza assault ukiniinsalt ni rithe ya turi
Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni Kaa ya before na round hii imeongezwa size ya Kuni
Wautolewa kasoo natuma jasho reduce kiburi
Verse naeza assault ukiniinsalt ni rithe ya turi
VERSE 3
Labda ashindange uko kwao
Juu morio amejaza vipuli
Utalala kinapi ukiona adi ngoko aezi sema hakuli
Nakupea dakika tu mbili
Utachapwa utachapwa sue Mimi
Nii mi ndo nasakwa sii nyinyi
Nii mi ndo nasakwa sii nyinyi
Kuingia huku unalipishwa utatoa fee... Fee
Shweng amembulu unaskia shughli ni Kaa p.r.e
Tunatembea waleng' ndo Glock na master key
Nlisema na 99 akiuthi Mii naskii... Skiiip
Hizo maneno kibao maneno zao wameshatupa mbao
Moto ni Kaa ya before na round hii imeongezwa size ya Kuni
Written by: Kidd Kevvy, Leon Mulama, Robert Telewa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...