album cover
Zamani
2
Music
Zamani was released on June 20, 2024 by Addah as a part of the album Zamani - Single
album cover
Release DateJune 20, 2024
LabelAddah
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM85

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
ADDAH
ADDAH
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdallah Saidi
Abdallah Saidi
Songwriter

Lyrics

Leo nimepata story zako
Za shari kwa shoga zako
Kwani mii ni mgomvi waako ooh mmh
Sasa nimepata namba zako
Nikaona nikupigie
Unieleze ya moyoni mwako ooh ehiiiy
 I don\'t know why
Why why
Kwanini umekua mtumwa sasa
Na penzi lilikwisha zamani mi nawe mmh
I don\'t know why
Aaah ha
Kwanini tuwe wapinzani
Na penzi lilishaisha zamani
mi naweee
Ila leo nakufunza \"Kufunzaaa\"
Usishindane na mtu alie kimya
Maana bure utakonda \"Utakondaaa\"
Mwenzako ananenepa huku unakonda
Ila leo nakufunza \"Kufunzaaa\"
Usishindane na mtu alie kimya
Maana bure utakonda \"Utakondaaa\"
Mwenzako ananenepa huku unakonda
Mapenzi..
 \"Zamani zamani zama
Yalikwisha..
\"Zamani zamani zama
Mwenzako sipendi vita..
\"Zamani zamani zama
Mbona hayo yalipita..
\"Zamani zamani zama
Mapenzi..
 \"Zamani zamani zama
Yalikwisha..
\"Zamani zamani zama
Mwenzako sipendi vita..
\"Zamani zamani zama
Hayo yalikwisha..
\"Zamani zamani zama
Hata nikipiga simu
Usione kama nashoboka aih
Vp unipe wazimu
Wakati mwenyewe uliondoka aahh
Chachu ndo ladha ya ndimu
Moyoni nikatoa makopa aaah
We si kampeni wa timu
Uwanjani ukataka ukocha aah aaaah
Aaah hee aah heee
Mapenzi yanauma ulisikia
Aaah hee aah hee
Leo magumu yake unapitia
Aaah hee aah heee
Mapenzi yanauma ulisikia
Aaah hee aah hee
Leo magumu yake unapitia
Ila leo nakufunza \"Kufunzaaa\"
Usishindane na mtu alie kimya
Maana bure utakonda \"Utakondaaa\"
Mwenzako ananenepa huku unakonda
Ila leo nakufunza \"Kufunzaaa\"
Usishindane na mtu alie kimya
Maana bure utakonda \"Utakondaaa\"
Mwenzako ananenepa huku unakonda
Mapenzi..
 \"Zamani zamani zama
Yalikwisha..
\"Zamani zamani zama
Mwenzako sipendi vita..
\"Zamani zamani zama
Mbona hayo yalipita..
\"Zamani zamani zama
Mapenzi..
 \"Zamani zamani zama
Yalikwisha..
\"Zamani zamani zama
Mwenzako sipendi vita..
\"Zamani zamani zama
Mbona hayo yalipita..
\"Zamani zamani zama
Written by: Abdallah Saidi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...