album cover
Fame
13,115
Hip-Hop/Rap
Fame was released on June 28, 2024 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Mbuzi
album cover
AlbumMbuzi
Release DateJune 28, 2024
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM71

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Young Lunya
Young Lunya
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Daudi Bakari Myoya
Daudi Bakari Myoya
Composer

Lyrics

[Verse 1]
Hii kitu naifanya kiutata na utata unafanya nionekane ni mbishi (Rrraa)
Huwezi kucheka it's not funny nikishachoma upanga siyumbishi (Shaa)
Who can go harder like this (Thiiss)
Who can do better than this (Thiisss)
Ukihisi siwezi kukimbiza jiji who run this city than me
[Verse 2]
Wakisha uzoea mlango na change kitasa (Na change kitasa)
Nikisha usoma mchezo na change kurasa (Kurasaa)
Nyie nendeni niachieni furaha mkiniacha (Truee)
Bebeni kila kitu mlichonipa niacheni mmeniwashia kinasa
[Verse 3]
Wako Jacko, Drako Waffle hata words play yangu insane
Live for, Pray for, Doing for, Dying for na hata kila nikidrop insane
Wakanielekeza na njia ya uongo lakini hata sipotei
Tafuta chako cha mtu sio cha kwako hakuna haja ya ku-explain
[Verse 4]
I went number one kilamtu alikaa
Nikimuona mtu na nguo kama ya kwangu kamwe sitokuja kuiva
Siwaachi wapoe nawapiga na punchlines nawapiga na butwaa
Sisi sio wa hizo type we fuck with you but from far
[Verse 5]
Camilla Tessy, nishaifunga iyo kesi
Usiwaze kunifumania na kimodo na nazimia vibonge wepesi
Kuhusu kupaa sifanyi uchumi my **** I been flying with jets
Ukiitwa ghetto hauitwi mwenyewe na mboga zingine incase
[Verse 6]
Tagi ubavu unapotuona ushajua tunataka pesa (Eeh)
Bila ya bunda huoni hata pua hii kitu hatuifanyi for fame (Hee)
Hii kitu hatuifanyi for fame (Hee)
Sio issue wakiipenda mademu
Tagi ubavu unapotuona ushajua tunataka pesa (Eeh)
Bila ya bunda huoni hata pua hii kitu hatuifanyi for fame (Hee)
Hii kitu hatuifanyi for fame (Hee)
Hii kitu, hii kitu hatuifanyi for fame
[Verse 7]
Ili niibuke weka pesa mbele kama tai (Taii)
Mi huku mtaani naogopeka kama vile niko na chai (Chaii)
Kila rika linadata na mimi mzee haikatox haikatai (Skrruu)
Mziki inabidi unilipe mapene coz haunidai naudai
Watangoja tudondoke bundle nene bado
Mchana na trend kwa page ya Millard usiku kwa Sam Misago
Mi niko town siangui maembe na naokota watoto wabichi
Sina cha kukihofia ni Mungu so hata boss wako hanitishi
[Verse 8]
Joka chaka zitoo, vyenga Chicharito
Accent Puerto Rico, naimbia billions Despacito
Namea bila mbolea na bado tu I'm getting bigger and bigger
Mimi siyo mtu wa kumdefine tu, get yourself four figures
Stori nyingi na wanangu lugha moja ya mtonyo
[Verse 9]
Hatukusemi tu unapigwa bao unasindikizwa na msonyoo (Mxiieeww)
Brand yenyewe hata haileweki kama inakuja inakataa
Sifuri ni nyingi kwenye invoice lazima ujifanye kichaa
[Verse 10]
Tagi ubavu unapotuona ushajua tunataka pesa (Eeh)
Bila ya bunda huoni hata pua hii kitu hatuifanyi for fame (Hee)
Hii kituhatuifanyi for fame (Hee)
Sio issue wakiipenda mademu
Tagi ubavu unapotuona ushajua tunataka pesa (Eeh)
Bila ya bunda huoni hata pua hii kitu hatuifanyi for fame (Hee)
Hii kitu hatuifanyi for fame (Hee)
Hii kitu, hii kitu hatuifanyi for fame
Written by: Daudi Bakari Myoya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...