album cover
Aibu
1,240
Hip-Hop/Rap
Aibu was released on June 18, 2024 by Maarifa as a part of the album Aibu - Single
album cover
Release DateJune 18, 2024
LabelMaarifa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Maarifa
Maarifa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rashid Rais Mohamed
Rashid Rais Mohamed
Songwriter

Lyrics

ulipo yatimba
nimetimba
unakufa’ vizuri
na kaburi nimechimba
ulipo yatimba ninetimba
ona ilivyo tofauti ya kitambi na mimba
nikikesha
jua’ nalaza usingizi MMHH
acha presha nmeanza na utangulizi MMHH
ulife hata kumi za maangamizi’
na hata ungepewa MIAKA KUMI ya maandalizi
Rashid
wajina njoo tuongee kindugu
kwa kiswahi au niongee kizungu
labda unahitaji maombi au niongee na MUNGU
ila hapana
kwa ubaya njoo uongee na dudu
umeonekana ukiwa wasafi
wewe ni mchafu una bebwa
mbuzi leo shere
umekuwa ndafu una megwa
walipocheka ‘hauchekeshi’
ulichekwa ’
beat ilikuwa mtego
halafu kizembe ukategwa’
ukienda zenji unaiona pemba
muda umefika tunaona mbuzi kagoma kwenda
na akigoma kwenda inakuwa kama dogg style
they’re not like us
you’re not like me’
you sound like a queen
so you’re not like a king
ilikushinda i like it’
ngoja nimalize vingine ni safi’
wanyama
ni wengi bila hata kusimuliwa
vipi ukachagua kuwa mnyama anayeliwa
na wanyama na binaadamu
wanakulula kwa lugha nyepesi jamaa we ni chakula
staki KITI sikai
staki kick walahi
na staki hiki nishai
staki halafu’ haifai
umepagawa unaagiza barafu
punguza nyasi
kichwa ikae timamu
ili ukipewa beat chap ukae utamu
mambo
mengine AIBU sa’ ntakaa kimya vipi
unajiita noma’ halafu unakalia kimya beat
leo nakuacha
siku nyingine nakuchukua vibao
oyaa’muda hautoshi wanangu mi’ nina kikao
Written by: Rashid Rais Mohamed
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...