album cover
Shuhuda
5,455
Afro-Pop
Shuhuda was released on June 7, 2024 by Kadason Music as a part of the album Shuhuda - Single
album cover
Release DateJune 7, 2024
LabelKadason Music
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Thadeo Peter Bundallah
Thadeo Peter Bundallah
Songwriter

Lyrics

Umenitendea tena
Umenitendea wema
Napendezwa jinsi unavyonijibu
Maombi yangu unavyonijibu
Napendezwa jinsi unanibariki
Kazi zangu unanibariki
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndipo uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Ohooo ye ye yeh ona nanana
Nilivyokuomba kwa uaminifu
Umenipaa
Umenipa na ziada
Baraka zako zinamwagika
MUNGU wa Viwango
Majibu yako uhakika
Umenipa vile Bora
Bora sana Nimeridhika
Nashindwa kujizuia
Kinywa changu
Kuyasema Ulonitendea
Bwana wangu
Ulinifunza kuvumilia
Magumu yangu
Maana ndiko uliziweka
Baraka zangu
Umenitendea tena
Umenitendea wema
Umenitendea tena aa ah
Umenitendea wema
Written by: Thadeo Peter Bundallah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...