Credits
PERFORMING ARTISTS
Mtafya
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mtafya Mwampamba
Songwriter
Lyrics
POLE
CHORUS
ETI KAMA UNADHANI IVYO VIPESA VYAKO NA HICHO KIGARI CHAKO UKININYIMA LIFT UMENIKOMOA
OH KAMA UNADHANI HILO SHEPU LAKO NA HUO UZURI WAKO UKINITOSA NITAUMIA
VERS 1
HUNA KIPATO UNAKESHA CLUB MTOTO MDOGO UNA VIBABU NILEWE MIMI WE UPATE TABU ( JIRANI POLEE
KAMA HUKUFUNZWA NA BIBI NA BABU WALIMWENGU WATAKUFUNZA ADABU UNAJICHUBUA UWE KA MWARABU
UKIMSEMA MWENZIO KISA AMESHINDWA KUPATA NDOA UNAKOSEA UKIMCHEKA MWENZIO KISA AMESHINDWA KUPATA MTOTO UNAKOSEA
KAMA UNADHANI MWENZAKO UKINIACHA NTAKONDA ( POLEE
NDIO KWANZA NISHA MPATA WAKUPONESHA KIDONDA
KAMA UMEWEZA NAMI NITAWEZA MUNGU NI WETU SOTE HAJAWAHI KUTELEZA
KAMA UMEWEZA NAMI NITAWEZA MUNGU NI WETU SOTE HAJAWAHI KUTELEZA OOH OOO
CHORUS
ETI KAMA UNADHANI HIVYO VIPESA VYAKO NA HICHO KIGARI CHAKO UKININYIMA LIFT UMENIKOMOA
OH KAMA UNADHANI HILO SHEPU LAKO NA HUO UZURI WAKO UKINITOSA NITAUMIA
VERS 2
KUGONGEA BIA ZAKO UNAHISI NAFAIDI WAKATI KIU NAKATA KWA MAJI YA BARIDI NANI ALISEMA BILA WEWE NITAKUFA NIMEPATA SHIDA KIDOGO MAKELELE SABUFA
NISPATE KADILI MNAROGA MNAROGA KUTWA KUSHINDA KWA WAGANGA MADAWA KUOGA
CHORUS
ETI KAMA UNADHANI IVYO VIPESA VYAKO NA HICHO KIGARI CHAKO UKININYIMA LIFT UMENIKOMOA
OH KAMA UNADHANI HILO SHEPU LAKO NA HUO UZURI WAKO UKINITOSA NITAUMIA
UGWEE NA MANZI TONGWE YEYEYE
Written by: Mtafya Mwampamba