album cover
Yanauma
2
R&B/Soul
Yanauma was released on June 25, 2024 by Watengwa as a part of the album Yanauma - Single
album cover
Release DateJune 25, 2024
LabelWatengwa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Poih
Poih
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Poih
Poih
Composer

Lyrics

Mmmh
Mi na hisi huku penda ulitamani niwe na wewe ( weweeee)
Cheki mwili una konda nabaki mifupa kwaajili yako wewe
Mwanzo penzi lilikua vibe
Asa limeshuka napata aibu
Eti leo sina maajabu
Pale kwenye tuta kuna magugu
Wee unajua unajua unajua mamaa
Vile mi naugua naugua naugua mamaa
Aaaah
Mapenzi yana uma mapenzi
Mapenzi yana uma mapenzi
Mapenzi yana uma mapenzi
Mapenzi yana uma mapenzi
Huwenda hukuridhika badala ya nyama nikaleta bamia
Boya nilikupa ina nazama mwenzio natumbukiaa
Unataka nifeee nifeee Aah kabla siku hazija timia
Lengo wanicheke cheke eehe eeeh heee iiieeeh iiieeeh
Mwanzo penzi lilikua vibe
Asa limeshuka napata aibu
Eti leo sina maajabu
Pale kwenye tuta kuna magugu
Mapenzi yana uma mapenzi...yame nizidiaa
Mapenzi yana uma mapenzi....oooh
Mapenzi yana uma mapenzi.......mmmh
Mapenzi yana uma mapenzi
Eeeeh eeeeh huuuuh
Jeeeh iam my name poih
Written by: Poih
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...