album cover
Basi
24
R&B/Soul
Basi was released on July 12, 2024 by Independent as a part of the album Basi - Single
album cover
Release DateJuly 12, 2024
LabelIndependent
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM64

Credits

Lyrics

Oooooh wooh uuooohh
Oh oh
Oooooh wooh uoh
Yeah
Najua pesa ndo kila kitu
Ukaona mapenzi si kitu
Cha mtu huliwa na mtu
Na Chuma huliwa na kutu
Eti moyo wangu mdhaifu
Kwa uliosema ningeumia
But I was so faithful
Kila neno nilichunia
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa Penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa Penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka na jua
Moyo wangu karatasi
Nafsi please punguza kasi
Kumbe jina langu hukuandika kwa wino
Ni penseli ukafuta nkawa simo
Eti moyo wangu mdhaifu
Kwa uliosema ningeumia
But I was so Faithful
Kila neno nilichunia
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni Kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua moyo
Umeshaufua ukanyauka na jua
Au ulifkiri kwamba unanikomoa
Moyoni Kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua moyo
Umeshaufua ukanyauka na jua
Oooh wooh uooh
Yeah
Oooh yeah yeah
Ah
Siwezi Ficha machozi yanayotiririka
Mimi nywele wewe kinyozi
Siwezi Ficha machozi yanayotiririka
Mimi nywele wewe kinyozi
Umenitoa kibanzi
Kukicha uchokozi
Sina mtetezi
Hakimu mwenyenzi
Umenitoa kibanzi
Kukicha uchokozi
Sina mtetezi
Hakimu mwenyenzi
Au ulifikiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka
Na jua
Au ulifikiri kwamba unanikomoa
Moyoni kunitoa penzi ukabomoa
Au ulidhani kuwa umenishushua
Moyo umeshaufua ukanyauka
Na jua
Oooohhh oohh
Tell me I wanna Know
Tell me I wanna Know
Tell me I wanna know
Tell me I wanna know
Tell me I wanna know
Tell me I wanna knooooww
Oooohh
Sollo Brown
Darkie
Written by: Sollo Brown
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...