Credits

PERFORMING ARTISTS
Dizzy
Dizzy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dizzy
Dizzy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Daiy-Z
Daiy-Z
Producer

Lyrics

Ahhhh na dizzy tena
Hello darling,
Nimemis kukupigia ,kuna kanyimbo nataka kukuimbia,
Tega sikio upate sikia ,mauwa yako leo nakupatia
Ule mchezo unao nipaga kitandani unaniacha hoi,unanipaga tu maburudani kwako sichomoi,
Acha waumie roho na tena wajinyonge siwezi kukuacha ma baby usikonde
Nilikuwa mwembamba nimekuwa kibonge ,nimenenepa ahhh
Acha waumie roho na tena wajinyonge siwezi kukuacha ma baby sikonde nilikuwa mwembamba nimekuwa kibonge nimenenepa ahhh
Ilo penzi lako tamu wewe
Yani raha raha yani raha
Yani raha raha yani raha
Ninapo kuwa na wee
Yani raha raha yani raha
Yani raha raha yani raha
Sauti yako nikisikia ata nikiwa mbali natamani kuludi
Uwepo wako najivunia
Nitakuletea zawadi siku nitayo rudi
Wanao subuli tuachane wape salamu zao wambie sisi bado tupo
Mimi nawe tugombane wafurahi wao ilo swala kwetu alipo
Acha waumie roho na tena wajinyonge siwezi kukuacha ma baby usikonde Nilikuwa mwembamba nimekuwa kibonge nimenenepa ahhh Acha waumie roho na tena wajinyonge siwezi kukuacha ma baby usikonde Nilikuwa mwembamba nimekuwa kibonge nimenenepa ahhh Ilo penzi lako tamu wewe
Yani raha raha yani raha ,yani raha raha yani raha Ninapo kuwa na wee Yani raha raha , yani raha yani raha raha yani raha
Written by: Dizzy
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...