album cover
Mazonge
album cover
Mazonge was released on July 18, 2024 by Stray Music Kenya as a part of the album Mazonge - Single
July 18, 2024
LabelStray Music Kenya
LanguageEnglish
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Verse1: Lipi kwenye tendo silijui nilishapenda nkaumizwa
Machozi kila siku moyo nikakondaa
Huba ndani nilijaza sikuamini angeniacha vidonda ndani ya moyo nikakonda kondeana aah
: Bridge>
Kupendaa,kupenda maradhi unaempenda akikuachaa, ndo manaa,moyo unadunda taswira ukiiwaza
[Kupenda aah aah]
Kupenda maradhi unaempenda akikuacha ndo manaa moyo unadunda taswira ukiiwaza aaah aah Hukumbuki ulivyotendwa>(moyoo)
Unajaza maji kwa tenga>(aah moyo)×2
 : Chorus
Mazonge zonge naonaa mhh (mbona)mbonaa mhh mbonaa×2
VERSE 2
Nilisubiri mbivu zikachacha penzi Lake kovu nimeliacha
Kupenda siri yake maulana ooh sina ujanjaa
Nishapiga mbizi nkazama
Kwenye penzi nikasimama mapenzi yamenishinda nachutamaa aah lawamaa
 
Ivi leo nimependa tenaah
Nimependa tenaaah
Aaaah aah ananifanya mtekemteke eeh nicheke chekee eeh eeh eeh,aah aah aah aaaah
Hukumbuki ulivyotendwa,moyo
Unajaza maji kwa tenga,aah moyo ×2
Written by: Faizo Mugenyi Ratemo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...