Credits

COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Jafari Mzonge
Ibrahim Jafari Mzonge
Songwriter
Clement Alex Mwamakula
Clement Alex Mwamakula
Songwriter

Lyrics

Hatuachani ng'o
Mimi na yeye
Nampenda ananipenda
Na ye ndio panado
Kutwa mara tatu
Mwenzenu mi napendwa
Wape taarifa zao
Upendo wetu sio wa mitandao
Sio shida zetu shida zao
Wachonge viti wakae vikao
Hatuachani kamwe
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Hatuachani kamwe
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Moyo umeujaza nafasi
Wengine siti hawapati
Ma photo photo snapchat Ee yeah
Pendo la tembelea chaki
Penzi mashallah halina mfano
Liko nga nga nga kamili gado
Ndio kwanza naenjoy huba lako
So tuliza boli mi ni wako
Wape taarifa zao
Upendo wetu sio wa mitandao
Sio shida zetu shida zao
Wachonge viti wakae vikao
Hatuachani kamwe
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Hatuachani kamwe
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Mmh mmh
Ng'o ng'o ng'o
Written by: Clement Alex Mwamakula, Ibrahim Jafari Mzonge
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...