album cover
Moyo
album cover
Moyo was released on September 27, 2024 by Bruce Africa as a part of the album Boyfriends Life - EP
September 27, 2024
LabelBruce Africa
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Mazima Nimezama
Ndani ya Penzi lako Kina nimezama
Nakupenda Huna Drama
Watapita wote kwangu Una Nanga
Changu kipenda Roho
Mbichi hivyohivyo
Hauna Kasoro
Haunaga choyo
Changu kipenda Roho
Kama cha Form Four
Umeuminya Moyo
Haunaga choyo
Ukitaka kuniacha Let me know
Niupe Taarifa Moyo Wangu Mdogo
Ukitaka kuniacha Let me know
Niupe Taarifa Moyo Wangu Mdogo
Moyo wangu Mdogo
Moyo wangu Mdogo
Mhhhh
Yeeboooooo
Kimideko Juu na Mineso
Nikileta Jasho Unakaleso
Si unaona, Vile tunafanana
Kimideko Juu na Mineso
Nikileta Jasho Unakaleso
Si unaona, Vile tunaendana
Uhhh uhhh uhhh uhhhh
Dada wee
Ulivyo Mzuri hivyo
Nimekuimbia na Kanyimbo
Eti siku ije uje kuniacha NO
Dada Wee
I can’t imagine life without you
You are my Gift from above
Cheki Nina nona Juu ya Mapenzi Aisee
Changu kipenda Roho
Kama cha Form Four
Umeuminya Moyo
Haunaga choyo
Ukitaka kuniacha Let me know
Niupe Taarifa Moyo Wangu Mdogo
Ukitaka kuniacha Let me know
Niupe Taarifa Moyo Wangu Mdogo
Moyo wangu Mdogo
Moyo wangu Mdogo
Mhhhh
Yeeboooooo
Kimideko Juu na Mineso
Nikileta Jasho Unakaleso
Si unaona, Vile tunafanana
Kimideko Juu na Mineso
Nikileta Jasho Unakaleso
Si unaona, Vile tunaendana
Written by: Bruce Elias Sanane
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...