album cover
Siko Sawa
album cover
Siko Sawa was released on August 7, 2024 by Eastern Vibes Limited as a part of the album Siko Sawa - Single
ReleasedAugust 7, 2024
LabelEastern Vibes Limited
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Mmmmmmmh
Mmmmmmmmmh
Iyeeeeee iyeeeeeee
Aaaah
Alisma mapenzi bahari
Walanisiogope atanifunza
Kuogelea aaah
Wala nisijali chochote
Mtoto atanifunza kutembea
Nisiogope ajali
Kifuambele Ali sema ye atanikingia ohohohohoooo
Mnitaftie dactari Japo alisema nikiumwa
Ye ndo atae nitibia aha aaaah
Maumivu kwenyemoyowangu amani imepotea
Moyo umekosa utulivu eeh mola shuka uje nisaidia aaahaaah
mwenzenu mimi siko sawaa
Siko sawaaaa sikosawaaa
mwenzenu mimi siko sawaa
Siko sawaaaa sikosawaaa
Vichomi natokwa jasho
Mwenzenu naisi napotea
Sikuzirudi nyuma natamani nisinge yajua
Yalionikuta maasi nakusahau sitaki
Kulala nusu narobo kwa kati
Ameidhulumu yangu nafsi
Kizunguzungu ninacho
Nahisi kama nikiini macho
Kumbe nikweli kumbe nikweli
Nayachukia makopa
Mapenzi nimechoka nimechoka nimechoka
Aaaaaaaaaah aah eeeyyy
Maumivu kwenyemoyowangu amani imepotea
Moyo umekosa utulivu eeh mola shuka uje nisaidia aaahaaah
mwenzenu mimi siko sawaa
Siko sawaaaa sikosawaaa
mwenzenu mimi siko sawaa
Siko sawaaaa sikosawaaa
mi sikosawaa
Aaaaaaaah aaaaaaah
Mmmmmmh
Written by: Tadey Adiano Zeno

Loading...