Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zee Cute
Zee Cute
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kerwin Amos Swai
Kerwin Amos Swai
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
O.Righty
O.Righty
Producer

Lyrics

(Lody Music on this one)
(Lupaso Kid on the map)
Zee Baby
(O.Righty)
Nikifungua mboni nakuona wewe baba
Hata nikifunga bado naona upendo na mahaba
Tena mwingine sioni my baby nipende nipe ladha
Lile gonjwa la mapenzi napona nadata na mahaba (oh my we)
Umeniweza we umenikamata hadi nashindwa rhumba kusakata
Kwenye bed mwenzako nishadata
Shika mwili wako usiwe na shaka
Moto uwake (moto huo)
Penzi limetake over
Uwake uwake (moto huo)
Unanibembeleza my love
Wanatamani tudondoke chini kesho watucheke tumepotea
(Haiwezekani)
Hawajui si tupo makini penzi letu haliwezi kupotea
(Haiwezekani)
Hatuwezi kamwe kuwa chini wao wawe juu kwa maana
(Haiwezekani)
Hawajui si tupo makini penzi letu haliwezi kupotea
(Haiwezekani)
Penzi lipo juu tunavimba na tunatuna
Wenye roho tushawapuna
Baby umeniweza umenitafuna wewe mhh
Ulimwengu huu sijaona kama we hakuna
Tulizana basi Kwangu kichuna
Baby I wanna love and wanna treat you now eh
Unataka twende wapi
Oh baby nahisi ndoto
Washasema mangapi
Ngoja tule maphoto
Mimi popote safi
Sijui wewe mama Watoto
Kukupata am happy
Nipe penzi la moto
Moto uwake (moto huo)
Penzi limetake over (limetake over)
Uwake uwake (moto huo)
Unanibembeleza my love
Wanatamani tudondoke chini kesho watucheke tumepotea
(Haiwezekani)
Hawajui si tupo makini penzi letu haliwezi kupotea
(Haiwezekani)
Hatuwezi kamwe kuwa chini wao wawe juu kwa maana
(Haiwezekani)
Hawajui si tupo makini penzi letu haliwezi kupotea
(Haiwezekani)
Written by: Kerwin Amos Swai
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...