album cover
Nikupe
album cover
Nikupe was released on May 23, 2025 by The Musiq Market as a part of the album Nikupe - Single
May 23, 2025
LabelThe Musiq Market
LanguageEnglish
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Zee Baby
Ahaa
(Lila)
Injini imefia hapa imezima
Hatoki mtu kwa Mkapa nakufa mazima
Nimejitoa sadaka mwili mzima
Kwangu sina mipaka pita kwenye mtima
Dereva wangu niendeshe
Moyo wangu hauna bima mapenzi nikopeshe
My Cherie (my Cherie)
My wangu (my wangu)
Wangu wa kweli (wa kweli)
Roho yangu (roho yangu)
Nikupe
Sina mali moyo chukua (nikupe)
Maana mapenzi huwezi nunua (nikupe)
Roho yangu moyo chukua (nikupe)
Maana mapenzi huwezi nunua baby
Asali asali si tamu (aah aah)
Kuliko penzi lako baby si tamu (aah aah)
Ni hatari kukuacha haramu (aah aah)
Mimi nawe baby damu damu
Mimi sijui nini wataniambia
Mwenzako mimi wewe ndio unanijulia
My Cherie (my Cherie)
My wangu (my wangu)
Wangu wa kweli (wa kweli)
Roho yangu (roho yangu)
Nikupe
Sina mali moyo chukua (nikupe)
Maana mapenzi huwezi nunua (nikupe)
Roho yangu moyo chukua (nikupe)
(Buff)
Maana mapenzi huwezi nunua baby
(Buffalo)
Written by: Mabrouck Lila, Material Bulls, Zaina Haji Mchombora

Loading...