Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ben Will
Performer
Benson Hauzimi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Benson William
Songwriter
Lyrics
Benson - Ni yeye lyrics
Leo
Natamani nikupost wakuone ulivo my love
My love
Leo
Natamani niseme mjue anaenipa raha
Raha aahaaa
Ameituliza nafsi
Stress za mapenzi sina tena
Moyo wangu una amani
Oooh nina amanii
Staki tena siri
Staki kumfichaa
Shemeji yenuu
Mnamuonaa
Tukiwa wawili
Tunapendezanaaa
Shemeji yenu mnamuonaa
Anaenifanya mi natabasamu
Ni yeyeee
Ananipa mautamu
Ni yeyeee
Aninipendaa
Ni yeyeee
Mmmh mmm
The only one for me
Ni yeyeee
And this love is real
Ni yeyeee
Nampendaa
Ni yeyeee
Ni yeyeee
Ai weee
Wanaopendana wachache
My weee
Sitakinije nikuache
Wapi weee
Kwako mi ujanja sinaaga
Aaaah aaah aaa
Lishindwe pepoo
La unafki
Umbea lenye wivu na kucheat
Tuzidi barikiwa mi na wewee
Staki tena siri
Staki kumfichaa
Shemeji yenuu
Mnamuonaa
Tukiwa wawili tunapendezanaa
Shemeji yenu
Mnamuonaa
Anaenifanya mi natabasamu
Ni yeyeee
Ananipa mautamu
Ni yeyeee
Aninipendaa
Ni yeyeee
Mmmh mmm
The only one for me
Ni yeyeee
And this love is real
Ni yeyeee
Nampendaa
Ni yeyeee
Ni yeyeee
Written by: Benson William