album cover
Hakuna Kulala
2
Christian & Gospel
Hakuna Kulala was released on September 6, 2024 by Ellen Singers as a part of the album Hakuna Kulala - Single
album cover
Release DateSeptember 6, 2024
LabelEllen Singers
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM107

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ellen Singers
Ellen Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moses Kisaba
Moses Kisaba
Songwriter

Lyrics

Moyo unatamani na shauku ni kubwa
Natamani niende niende niwambie watu hawa
Niwambie habari zenye matumaini
Kwa neno lake Bwana lenye matumaini
Litawavuta wengi
Kuna watu wengine wenye mahitaji natamani kuwafikia
Huko huko waliko Yesu anahitaji nao wapate wokovu
Chorus
(Ndoto yangu) Ndoto yangu ni kwenda (kama mwota ndoto) zaidi ya kawaida
(He-he-hee) kupeleka injili (ya Yesu) ulimwenguni watu wamwone Yesu
(Twendeni) mimi na familia (mh) yangu tumeamua (hee) kupeleka injili
(Injili iende) watu wamwone Yesu (waokolewe)
Kwa neno la tumaini waupate wokovu
Verse II
Ni muda wa kuamka na kwenda hakuna kulala
Mavuno ni mengi, ni mengi wavunaji wachache
Shamba nalo ni kubwa mavuno yako mengi, wavunaji wachache …
Tuinuke tukavune, tuwalete zizini mwa Bwana waokolewe …
Usiku na mchana twendeni tukavune hakuna kulala
Yesu anakuja upesi tena haraka kuchukua washindi
Written by: Moses Kisaba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...