album cover
Relax
80,752
Christian & Gospel
Relax was released on May 13, 2020 by Relax Investment as a part of the album Relax
album cover
AlbumRelax
Release DateMay 13, 2020
LabelRelax Investment
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM97

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Christina Shusho
Composer

Lyrics

[Intro]
Heh! Yeah-yeah
Kurelax, kurelax weh!
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu
Kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Verse 1]
Nani apinge, alichosema Mungu
Nani alaani, alichobariki Mungu
Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu
[Chorus]
Na kama kuna pando, 'lopandwa na mwovu (Nang'oa)
Pando la muovu (Mi' nang'oa)
Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
Andiko la hila (Mi')
[Chorus]
Na kama kuna pando lilopandwa na mwovu (Nangoa)
Pando la muovu (Mi' nangoa)
Kila andiko 'loandikwa kwa hila (Nafuta)
Andiko la hila (Mi)
[Verse 2]
Imeandikwa nitakuwa kichwa siyo mkia
Wakwanza si wa mwisho
[Verse 3]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Chorus]
Mi na relax, na relax ooh
(Na relax, na relax, na relax) Mi na relax, na relax ooh
(Mwenyewe amesema) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Atanipa utajiri wake) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Atanalisha kama ndege angani) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Atanipamba kama ua kondeni) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Yesu akisema atafanya) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
(Neno lake ni amina na kweli) Mi na relax (Na relax) na relax ooh
[Chorus]
Bwana atanibarikiri, kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu (Yesu mwenyewe amesema), kwa kadri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa-sukwa hata kumwagika
[Outro]
(Nangoja atimize) Na relax, na relax ooh (Ukwei wangu)
(Nangoja atimize leo) Na relax, na relax ooh
(Eeh! Ooh!) Mimi na relax, narelax ooh
(Mungu wee, ooh Yesu wee) Mimi na relax, na relax ooh
(Ii) Mimi na relax, na relax ooh
(Hoyoyoo) Mimi na relax, na relax ooh
(Yes weeh) Mimi na relax, na relax ooh
Mimi na relax, na relax ooh
Written by: Christina Shusho
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...