Credits
PERFORMING ARTISTS
Hamadai
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamadi Ali
Songwriter
Lyrics
Sawa sina changu nyumban vyote vyako ata kitanda sina me mmmh maneno mengi jirani usiwape nafasi ya kujua yetu ya ndani mmmh pia usitumie kama fimbo ya udhaifu kwangu mpaka wakajua unanilea vitu so vya kwangu x2
Watanicheka wataningonga watakuja kunita marioo x4
marioooooo x2
Mitandao mingi unajua mami aah watanipakaza kwa mabaya ntajuata watasababisha nihame dar nikajutia ficha siri zangu yasijenikuta aaah ile mizunguko ya kwenda mlimani kuvaa pamba sijui nan na nani nn nitajutia pia usitumie kama fimbo ya udhaifu kwangu hadi wakajua unanilea gari so lakwangu usitumie kama fimbo ya udhaifu kwangu hadi wakajua unanilea nyumba so yanguu eeeiiii
watanicheka wataningonga watakuja kunita marioo x2
marioooook x2
Written by: Hamadi Ali