album cover
Samia Tena
album cover
Samia Tena was released on October 11, 2024 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Samia Tena - Single
October 11, 2024
LabelSony Music Entertainment East Africa
BPM120
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

mmh, mmh,
Mama Samia eh, Samia ah,
(Mama Samia eh, Samia ah)
Mama Samia eh, Samia ah, ooh
(Mama Samia eh, Samia ah)
Maneno hayatoshi kumwelezea
Alioyafanya muda mfupi, twajionea,
Afya bora kwa kila mtanzania,
Kutoka mjini mpaka vijijini,
Inawafikia
Namuita mama (ooh MAMA)
Nani hamjui Mama?
Yale anayoyafanya,
oooh
Heshima kwa wanawake ametupa,
Rais wa kwanza mwanamuke Tumempata,
Kawatua ndoo vichwani wa Mama, ooh,
Sasa niku enjoy, Maji Mwa Mwa Mwa,
Mitano tena,
Mitano tena,
Mitano tunampa !
Mitano tena,
Mitano tena,
Mitano tunampa !
Mama Samia eh, Samia ah,
(Mama Samia eh, Samia ah)
Mama Samia eh, Samia ah, ooh
(Mama Samia eh, Samia ah)
Umemuona Mama?
Jamani Mama,
Mama yetu Mama,
Samia Mama, ah
Umemuona Mama?
Jamani Mama,
Jemedari Mama,
RAIS Mama, ah
Tunasonga mbele mbele,
SGR mbele,
Tunasonga mbele mbele,
ROYAL TOUR mbele
Tunasonga mbele mbele,
ELIMU BORA mbele,
Tunasonga MBELE,
Amiri Jeshi Mkuu mbele
Mitano tena,
Mitano tena,
Mitano tunampa !
Mitano tena,
Mitano tena,
Mitano tunampa !
Mama Samia eh, Samia ah,
(Mama Samia eh, Samia ah)
Mama Samia eh, Samia ah, ooh
(Mama Samia eh, Samia ah)
Umemuona Mama?
Jamani Mama,
Mama yetu Mama,
Samia Mama, ah
Umemuona Mama?
Jamani Mama,
Jemedari Mama,
RAIS Mama, ah
(Umemuona Mama?
Jamani Mama,
Mama yetu Mama,
Samia Mama, ah
Written by: Abigail Chamungwana
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...