album cover
Wanadata
album cover
Wanadata was released on November 3, 2024 by Kahama city record as a part of the album Wanadata - Single
November 3, 2024
LabelKahama city record
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Data nasi gangwe watu wa mitikasi
Tuko pande zote vuvugu ng’anda mpaka dope
Hii ngoma ngumu kimeo haina matese wala mapozeo chenguka nasi data nasi
Chenguka na chama kama Dj sama
Tia miguu kwato tukuchimbie kaburi
Gangwe bado tunakaza msuli
Wabishihatukubaligi kitu kirahisi
Vichwa ngumu tunapodai haki hututaki eee bwana mdogo hatarii
Hatari brother
Eyo tumeshika mpini wameshika makali
Gangwe mob ni wakali
Tandaza vuguvugu mezani alipe nani
Lute, Inspektah, M, mademu kem kemu wametuzunguka
Wanadata nasi
Ngenga msingi maneno fedha makaratasi
Hii ndo kona ya ma**
Pembeni gambe kushoto shufaa
Huku vishada waiter fungua vizibo shabaaa
Pakti ya ubalozi kifuani, ash tray mezani
Toa mche weka mche mpaka kukuche
Wote mifuko imetuna
Mtoto unataka nini kama ni kuku tafuna
Wanavyodata na sisi
Gangwe
Wanadata na sisi
Gangwe mob
Wanadata wanadata
Watu eee watu haaa
Wanavyodata na sisi
Gangwe
Wanadata na sisi
Gangwe mob
Wanadata wanadata
Watu eee watu haaa
***
Mineri ka la mfuko vivo kwa vivo tupo
***
Cheche fata minyato minyato mawindo
Maneno ya *** fuba kichindo
Nadharia mifano juu ya vitendo
Mida ya biere bwax ee ee e ee watu wana relax
Na mpaka imeshehena kila glass
Kunyonya mvinyo na madux,shori, wanawali
Huku ukiwapa ngisi salad na mikate iliyopakwa siagi
Hapo na Luten, G son, Pfunk Khalfan Majani
Akikatiza kimwana wako sijui lawama umpe nani
Eti nini, doko, io sio kiwanja mwanangu ndani ya coco beach
Wenye kuponda monde pata wine na pombe kali wapo ***
Wanadata nasi mpaka wanatoka kamasi
Data
Wamedata
Wamedata nasi
Wanavyodata na sisi
Gangwe
Wanadata na sisi
Gangwe mob
Wanadata wanadata
Watu eee watu haaa
Wanavyodata na sisi
Gangwe
Wanadata na sisi
Gangwe mob
Wanadata wanadata
Watu eee watu haaa
Data wamedata
Wamedata nasi
Data na sisi
Wanavyodata na sisi
Gangwe
Wanadata na sisi
Gangwe mob
Wanadata wanadata
Watu eee watu haaa
Wanavyodata na sisi
Gangwe
Wanadata na sisi
Gangwe mob
Wanadata wanadata
Watu eee watu haaa
Written by: Haroun Rashidi Kahena (Inspector Haroun), Karama Bakari Jongo (Luteni Karama), Paul Matthysse (P-Funk Majani), Woodmusic Africa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...