album cover
Nyamama
album cover
Nyamama was released on November 8, 2024 by Watendawili as a part of the album En Route
November 8, 2024
LabelWatendawili
LanguageEnglish
BPM160
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Nyathi jose kongolo
Koro obet ka nga mofuo
Hera okete piny hera omiyo aura otuo
Mayo mayo mayo niko karibu kulia
Zimeshanilipukia halo halo halo
Simu nikikupigia mteja ndio inaingia
[Chorus]
Nyamama nyamama nyamama
Mapenzi imenifanya kama fala
Nyamama nyamama nyamama
Aleki bebi ata siezi lala
[Refrain]
Ukipenda umependa
Ukipenda umeshapenda
Ukipenda umependa
Mambo ya moyo hauwezi kuelewa
[Verse 2]
Ka in buta chunya kwe
Asendiko wer collabo nipe aah
To ka idhi pi wanga chwer
Wende manwa wero ga okanyal wer
Onyach pala Onyach pala
Nakumbuka ukiniita kwa kitanda
Amany njaga kos amany dawa
Hera mani mi ya ga ema miya power
[Chorus]
Nyamama nyamama nyamama
Mapenzi imenifanya kama fala
Nyamama nyamama nyamama
Aleki bebi ata siezi lala
Nyamama nyamama nyamama
Mapenzi imenifanya kama fala
Nyamama nyamama nyamama
Aleki bebi ata siezi lala
[Refrain]
Ukipenda umependa
Ukipenda umeshapenda
Ukipenda umependa
Mambo ya moyo hauwezi kuelewa
[Verse 3]
Huh aah nindo tama
Bedo ni anindo kenda koya chama aah
Aki nahuzunisha ona vile pillow zangu zimeisha
Animo ei nam
Stretching my hand hoping you reach out
Na ni kama nimeshazama
Juu ni penzi lako tu ndo nataka
Jogo makoro koruruna
Ukonakuma opondo
Namtafuta huyu kipusa
Nimetuma na njiwa
[Chorus]
Nyamama nyamama nyamama
Mapenzi imenifanya kama fala
Nyamama nyamama nyamama
Aleki bebi ata siezi lala
Nyamama nyamama nyamama
Mapenzi imenifanya kama fala
Nyamama nyamama nyamama
Aleki bebi ata siezi lala
[Refrain]
Ukipenda umependa
Ukipenda umeshapenda
Ukipenda umependa
Mambo ya moyo hauwezi kuelewa
[Outro]
Alemo alemo
Mond ayudie jahera
Mond abetie bathi
Alemo alemo
Mond ayudie jahera
Mond abetie bathi
Written by: Edgar Israel Onyach, Julius Okelo McRymboh, Ywaya Eugine Simon
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...