album cover

Aluta

26Afro-Pop2025
album cover
Aluta was released on April 12, 2025 by Black Market Records as a part of the album Aluta - Single
ReleasedApril 12, 2025
LabelBlack Market Records
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Aluta zineshika tuko party madem wana wine apo kati
Simu tumedunga tuko party
Wakitutafuta hawatu party ×2
Alutazimeshika tuko party waiter leta mbilimbili
Gidigidi maji wengi tuko tipsy physically fty tunadance
Juu ya viti wengi marafiki down mbaka twisti tunalamba mbaka sweeti
Leo tuna tingika zimekanashi chora saba
Si nishalipa fee kwakina mercy wapi mr.tee
Leo wata tii kanapenda D see you to magi kanapenda stick akiwa steam
Aluta zineshika tuko party madem wana wine apo kati
Simu tumedunga tuko party
Wakitutafuta hawatu party ×2
Hawatu hawatu hawatu pate
Nikona brenda brenda wakusumbua anataka
Kunywa beer nani ata nunua ndo anapenda
Na mm napendua akitingika mlegevu ntabinua
Ataki kunywa wine anataka kuwa mine anasumbua
Na anataka vitu fine anapenda kuzi wine baby girl
Yuko fine pombe kidogo na anataka kuwa mine wine
Aluta zineshika tuko party madem wana wine apo kati
Simu tumedunga tuko party
Wakitutafuta hawatu party ×2
Hawatu hawatu hawatu pate hawatu hawatu
Hawatu pate hawatu hawatu hawatu pate hawatu hawatu hawatu pate
Niko mavela basi kam nikuseti usipochunga my guy
Uta bleki akina njeri wanatingiza majegi
Milk maziwa yaani zote ziko freshy
Abiro gi chang'aa mademu wamejaa wanashusha biker
Na wengi wamejaa mathutha na sianda na crazy ni kennar
Aluta zineshika tuko party madem wana wine apo kati
Simu tumedunga tuko party
Wakitutafuta hawatu party ×2
Hawatu hawatu pate×4
Written by: Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...