Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kanu
Kanu
Performer
OMARY SAIDI
OMARY SAIDI
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Kanu
Kanu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
SADIKI POTA
SADIKI POTA
Producer

Lyrics

Verse 1
Jamani namuomba mungu X wangu apate
Nikipata mimi hapo ndipo kasheshe
Maana mpaka kwako nitatembeza chape
Sio kwa dada tu mpaka kwa mama yake
Oooh namuomba God X wangu apate
Nikipata mimi hapo ndipo kasheshe
Maana mpaka kwako nitatembeza chape
Sio kwa dada tu mpaka kwa mama yake
Aaaaaaaaaah
Uyu nilie nae atamueza wapi kamwambie
Uyu nilie nae atamuweza wapi akaadithie
Chorus 1
Aaaaah kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Jamani kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Aaaah kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Mwenda wake wa maringo kamshinda mama yake
Ni hodari wa mitindo kamshinda mama yake
Sura yake mviringo kamshinda mama yake
Anatosha kwa pambo kamshinda mama yake
Verse 2
Honey asubuhi pambe nikandekande my dear
Kisha tuvikaange vinukie kwa sufuria
Tukomeshe wapame waliotumwa kuchungulia
Hao tuwape kande waungue viungulia
Aaaaaah aaaah aaaah
X amepiga simu kasema amenimisi
Mwambie ana wazimu sirudii matapishi
Kakeshe kwa mizimu kunipata si rahisi
Ongeza tarasimu shetwani amepata kiki
Uyu nilie nae atamueza wapi kamwambie
Uyu nilie nae atamuweza wapi akaadithie
Chorus 2
Aaaaah kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Jamani kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Aaaah kamshinda kamshinda kamshinda mama yake
Mwenda wake wa malingo kamshinda mama yake
Ni hodari wa mitindo kamshinda mama yake
Sura yake mvilingo kamshinda mama yake
Anatosha kwa pambo kamshinda mama yake
Michezesho
Eeeee we kandoro baba msalimie duwe Santana
Nunda
 Mama uyu mtoto anayaweza anayaweza mambo
Yani yeye jeshi kamili simuogopi mgambo
Mama uyu mtoto anayaweza anayaweza mambo
Yani yeye jeshi kamili simuogopi mgambo
We babu jafongo pota charaza.
Written by: Kanu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...