Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kusah
Kusah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
SALMIN ISMAIL HOZA
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gopa Beats
Gopa Beats
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Labda mbingu na dunia
Vije vishikane wabadili mchana, uwe usiku wa manane
Wakitaka tuachane
Watupige mapanga, baby tufe tuzikane
[Verse 2]
Si unajua nakujua
Sasa Walimwengumimi wataniambia nini?
Na wakitaka kukuambia
Waambie baby we ndo unanijua mimi
[Verse 3]
Na vile vipengele si ungehama
Ningeingia maji ningezama
Walikuvua nguo ukachutama
Ukasema huniachi kang'ang'ana na mimi ee
[PreChorus]
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari tena hakuna kujali
Ooh nah nah tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali tucheze tujivinjari oo
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari tena hakuna kujali
Ooh nah nah tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali tucheze tujivinjari oo lala
[Chorus]
Basi nibebe nibebe (Unibebe)
Nibebe nibebe (Ah nimechoka)
Basi nibebe nibebe
Mmh unibebe nibebe
[Bridge]
Unibebe nibebe nibebe
Kwa kila hali nibebe
Wambea hawaishi maneno nibebe
Nibebe, nibebe tubebane
[Verse 4]
Nawaza nikutunukie tuzo
Tumeshinda vikwazo tangu mwanzo
Si rahisi mami love
Kushindania umaneno
[Verse 5]
Wanatamani nikudharau, niseme nimepanda dau
Kisa nikusahau wewe
Wangemiliki mbuga
Kama wanyama ndege
Tule mihogo tule dagaa
Ugali wa kuchoma na vinguruka
[Verse 6]
Tuishi vile tunavyotaka
Binadamu hatuwezi kuwaridhisha
[PreChorus]
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari tena hakuna kujali
Ooh nah nah tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali tucheze tujivinjari oo
Penzi ni kama kamari
Tucheze hakuna dosari tena hakuna kujali
Ooh nah nah tena lipigwe zumari
Wapambe wakae mbali tucheze tujivinjari oo lala
[Chorus]
Basi nibebe nibebe (Unibebe)
Nibebe nibebe (Ah nimechoka)
Basi nibebe nibebe
Mmh unibebe nibebe
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...