Credits
COMPOSITION & LYRICS
JUMA MUHAMED OTHUMAN
Songwriter
Lyrics
Historia itakuwa ya mfano
Nami nimempata wakutulizana moyo
Tushasoma na dua tushamaliza visomo
Kazi kwenu wambea wenye midomo
Nawaoona mnapambana sana
Kutushusha mtasubiri sana
Kuachaana labda apange rabaana
Mkaroge mkiinama huku mkichutama
Huyu wangu nilompata nitadumu nae
Tutagawana Majengo nikikukuta nae
Written by: JUMA MUHAMED OTHUMAN

