album cover
Nakungojea
album cover
Nakungojea was released on January 17, 2025 by BKP BRAND as a part of the album Nakungojea - Single
January 17, 2025
LabelBKP BRAND
BPM144
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Shii beberu
Majibu ya maumivu machonii
Kichoponyaa ni imani sio dozi
Sijapona maradhii moyo wangu una magongoo
Kupenda tena siwezi yananitesa mapenzii
Sijapona maradhii moyo wangu una magongoo
Iko wazi hakuna kilichojificha
Watu wanajua kama tumeachana
Iko wazi hakuna kilichojificha
Watu wanajua kama tumeachana
Kama ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
Ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
Niliigwa na butwaa kama ulijiandaa yayaaa
Kama kosa yayaaa ungesema nilipokesaaa
Mi sina manufaa kwa wale waliokufaa
Umechoma mkeka kwa tamaa za sofaa
Mimi ni kati ya wanaume waliojinyima furaha
Ili faimlia zao ziishi kwa furaha
Ndio mimi mwanaume niliojinyima kupendeza ili baby apendee
Akapendwa na wengineee
Iko wazi hakuna kilichojificha
Watu wanajua kama tumeachana
Kama ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
Ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
Ikitokea umenimis nipo nakungojea sijakusahauu
Nipo nakungojeaa
Nipo nakungojeaa
Nipo nakungojeaa mamaa
Nipo nakungojeaa
Shii beberuuu
Kapaso Hapa Genius from Tanzania
Written by: Adamu Salumu Mshamu, Geofrey Ezlom Nikoluza, Jophrey Ezlom Nikoluza
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...