Credits
PERFORMING ARTISTS
Sifaeli Mwabuka
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sifaeli Mwabuka
Songwriter
Lyrics
LYRICS:2025
Song:YATOSHA
Artist: SIFAELI MWABUKA
Verse one
Mungu Wangu baba yangu akukumbuke Ni maombi yangu Yesu Wangu afanye Jambo
Mungu Wangu Wa mbinguni akukumbe Ni maombi yangu Yesu Wangu afanye Jambo ×2 ooh mama!!
Chorus:
Chorus: YATOSHA×10
Maisha ya kilio,Mungu akupe kicheko
Maisha ya umasikini,Mungu akubariki
Maisha ya kuonewa,Mungu akuheshimishe
Maisha ya mateso,Mungu akupe amani
Maisha ya kupanga,ujenge nyumba yako
Kutembea kwa miguu,ununue Gari lako
Maisha ya aibu,upewe heshima yako
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha ,yatosha
Ooh yatosha, yatosha
Verse 2;
Uusilie mpendwa Maisha Ni foleni mawazo ya Mungu anakuwazia mwema
Uusilie mama futa machozi yako tabu Na shida zako Mungu yeye anajua×2
Weka Imani Mungu anajua Kesho yako
Mwamini Mungu hawezi kukusahau×2
Chorus:
Chorus: YATOSHA×10
Maisha ya kilio,Mungu akupe kicheko
Maisha ya umasikini,Mungu akubariki
Maisha ya kuonewa,Mungu akuheshimishe
Maisha ya mateso,Mungu akupe amani
Maisha ya kupanga,ujenge nyumba yako
Kutembea kwa miguu,ununue Gari lako
Maisha ya aibu,upewe heshima yako
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha,yatosha
Ooh yatosha ,yatosha
Ooh yatosha, yatosha
Written by: Sifaeli Mwabuka

