album cover
Bongo Bongo
31
African
Bongo Bongo was released on February 3, 2025 by MCBR as a part of the album Bongo Bongo - Single
album cover
Release DateFebruary 3, 2025
LabelMCBR
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM192

Credits

PERFORMING ARTISTS
17DIKWELA
17DIKWELA
Performer
Obadia
Obadia
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salim Ali
Salim Ali
Composer
Ivan Stephano Mahinyila
Ivan Stephano Mahinyila
Songwriter

Lyrics

Eti wanasema uzee mwisho chalinze
(it’s 17Dikwela baby)
Watoto wa bongo bongo bongo
Watoto wa bongo bongo bongooo
Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeah)
Watoto wa bongo bongo bongooo
Bongooo Dar es salaaaamaa
Juzi juzi si nilipata katoto
nikataka nikapelekee moto
Kikapiga chenga za huku na huku
Mara gafla kikaleta changa moto
Mara ooh baby, umeme umeisha
Oooh baby, minataka sheesha
Oooh baby, pesa ya kope na kucha
Oooh baby, nataka kusuka
Nikakauliza kwani mi ni baba ako
Nikiomba show mbona unasema no
Au ndo vile unaniona kama koolo
Ukinipa mmh nitakupa na doo
Watoto wa bongo bongo bongo (bongo bongo, yeah)
Watoto wa bongo bongo bongooo (yeah, ahh)
Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeaaaah)
Watoto wa bongo bongo bongooo
Bongooo Dar es salaaaamaa
Ukiwa mshamba watakuchuna mpaka basi
Ukiomba namba kesho wanataka laki
Sio mbagala, sio tandale, sio masaki
Wote ni wale wale, yeah
Jifanya unanjaa wanakukazia
Ukileta ununda wanakuchunia
Na wote sio wabaya niwazuri pia
Bunda la ukweli sio mloganzila aah
Watoto wa bongo bongo bongo (bongo bongo, yeah)
Watoto wa bongo bongo bongooo (yeah, ahh)
Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeaaaah)
Watoto wa bongo bongo bongooo
Bongooo Dar es salaaaamaa
wakiona pesa
Wanazuga kama wanakupenda (ah)
Sikiisha pesa kwa mabwana zao wanakenda (ah)
Watoto wa bongo bongo bongo (bongo bongo, yeah)
Watoto wa bongo bongo bongooo (yeah, ahh)
Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeaaaah)
Watoto wa bongo bongo bongooo
Bongooo Dar es salaaaamaa
Written by: Ivan Stephano Mahinyila, Salim Ali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...