album cover
Mama
19
Hip-Hop/Rap
Mama was released on January 28, 2025 by IAM Music Records as a part of the album Mama - Single
album cover
Release DateJanuary 28, 2025
LabelIAM Music Records
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Credits

PERFORMING ARTISTS
Country Wizzy
Country Wizzy
Performer
Paul Maker
Paul Maker
Banjo
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Ayoub Mandingo
Ibrahim Ayoub Mandingo
Songwriter

Lyrics

Intro
CCM Warrap
Chama Kubwaa
Chorus
Ushindi wa Maaama
Mamaa Mammaa Mamaa
Maaamaa
Verse
Mama amefanya mengi
Kwenye bajeti
kwenda dodoma ni fasta kudadadeki
SGR mwendo safii ile kinyamwezi
Wapinzani huyu mama hamumuwezii
Yee na huuu mwaka ccm ushindi wa kishindo
Mama wala asemi sana ye anavitendo
Yes / ccm Yes
Kwanzia serikali za mtaa hadi wabunge yes
Wajumbe Hapa kazi tu na kazi iendeelee
Ccm ni ushindi mbelee kwa mbeleee
Wapinzani punguzen viherehere
Tunaingia ccm vigeregere
Na mnajua hakuna mama
kura zote zinaenda mama
Utakua chizi usimchagua mama
Na kura zote ccm chama chama
Wakiuliza ushindi wa nanii ni
wa Samia Suluhu Hassan
Kura ya nani hiioooo
Mamaaa Maaaamaa
Mamaaa
Flyover zipo nyingi kama tuko state
Mwendokasi ndo usiseme tunawahi fresh
Maendeleo ya barabara ayaelezeki
Kuanzia Dar hadi chalinze mwendo kama jet
Yee na huuu mwaka ccm ushindi wa kishindo
Mama wala asemi sana ye anavitendo
Yes / ccm Yes
Kwanzia serikali za mtaa hadi wabunge yes
Wajumbe Hapa kazi tu na kazi iendeelee
Ccm ni ushindi mbelee kwa mbeleee
Wapinzani punguzen viherehere
Tunaingia ccm vigeregere
Na mnajua hakuna mama
kura zote zinaenda mama
Utakua chizi usimchagua mama
Na kura zote ccm chama chama
Na wakiuliza ushindi wa nani ni
Wa Samia Suluhu Hassan
Kura ya nani hioooo
Mamaaa Maamaaa
Mamaaa (Booboo)
Mamaaa (Yee yehe)
Mamaaa Maaamaa
Maamaaa
Written by: Ibrahim Ayoub Mandingo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...