Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Udede
Performer
myko
Xylophone
COMPOSITION & LYRICS
BigBongoTV
Lyrics
Ananias Mpawenimana
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Udede
Engineer
Lyrics
Dunia inavitu kibao, dunia ina mambo mengi
Dunia haina wali wao, bila akili ujengii
Dunia yako so ya kwao, heshima itakupa watu wengi
Huwezi shindana na riski zao, dunia bana imechange
Moyoni na maumivu, nasijui dawa
Mimi si mkamilifu, imeandikwa samehe sawa
Yanini unichunie, yanini usinisalimie
Yanini tu bishanebishane, tugombane gombane, mimi na wewe sio sawa
Napenda furaha mie, mazuri yangu uyasimulie
Huku kugombana gombana, kutishana shana, nimechoka sio sawa
Tuseme niko jangwani, nakiu cha maji
Alafu maji unayo wewe, utaniacha nife
Kidogo kidogo pembeni yako wewe
Lala la lalaa laa, lala la lalaa laa
Sina la la
Lala la lalaa laa, lala la lalaa laa
Nikisena utamu wa dunia haifai (haifai)
Ye marachichi, mie papai
Kulinganisha mawazo pia haifai (haifai)
Mawazo yangu bongo, yake Dubai
Amekata kamba, anakuwa mwamba
Eti kisa namuomba msamaha, anajilamba lamba
Sina cha kulonga, kama msamaha nimeomba
Nishajikatia mpaka na tamaa, navyojikomba komba
Yanini unichunie, yanini usinisalimie
Yanini tu bishanebishane, tugombane gombane, mimi na wewe sio sawa
Napenda furaha mie, mazuri yangu uyasimulie
Huku kugombana gombana, kutishana shana, nimechoka sio sawa
Tuseme niko jangwani, nakiu cha maji
Alafu maji unayo wewe, utaniacha nife
Kidogo kidogo pembeni yako wewe
Lala la lalaa laa, lala la lalaa laa
Sina la la
Lala la lalaa laa, lala la lalaa laa
Written by: Ananias Mpawenimana, BigBongoTV


