album cover
Sabato
album cover
Sabato was released on January 31, 2025 by Ambassadors of Christ Choir as a part of the album Hosiyana
January 31, 2025
LabelAmbassadors of Christ Choir
BPM103
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Siku ya shangwe na siku ya furaha siku nipumzikayo moyoni,
Takatifu iliyotakazwa na mungu,njoo sabato siku yenye baraka.
Katika siku sita mungu baba alihitimisha yote yote mema,
Siku ya saba akapumzika kazi zake zote alizofanya
Akatoa amri ya kwamba iwe sabato kwa wote wampendao.
Pumzikasiku ya sabato kama wampenda mungu
Aliyeumba, Pumzika sabato kama kweli wampenda huyo mungu.
Ukitaka siku yoyote iwe sabato waweza kuifanya na ikawa
Lakini ujuwe kua iko sabato moja Ikubaliwayo na mungu
Tupumzikao sabato ya bwana kaeni macho na muombe sana
Hili ndilo pumziko la sabato lisiwe hasara jitakaseni
Tupumzikao sabato ya bwana kaeni macho na muombe sana
Hili ndilo pumziko la sabato lisiwe hasara jitakaseni
Written by: SSOZI JORAM
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...