album cover
Tchakua
27,516
Christian & Gospel
Tchakua was released on April 8, 2023 by MNC PRODUCTION as a part of the album Trust in the Storm
album cover
Release DateApril 8, 2023
LabelMNC PRODUCTION
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM117

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Deborah Lukalu
Deborah Lukalu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
MNC Production
MNC Production
Producer

Lyrics

Tchakua, tchakua, tchakua leo
Mimi natchakua Masiya (eeh-eeh)
Tchakua, tchakua, tchakua leo
Mimi natchakua, natchakua, natchakua Masiya
Wewe baba (tchakua)
Wewe mama (tchakua)
Leo leo (mimi natchakua Masiya)
Wewe baba (tchakua)
Wewe mama (tchakua)
Leo leo (mimi natchakua Masiya)
(Somebody make some noise today)
Tchakua, tchakua, tchakua leo
(Mimi natchakua Masiya)
Eh tchakua, tchakua tchakua leo
(Mimi natchakua Masiya)
Wewe baba (tchakua)
Wewe mama (tchakua)
Leo leo (mimi natchakua Masiya)
Wewe ndugu (tchakua)
Wewe dada (tchakua)
Leo leo (mimi natchakua Masiya)
I've chosen, I've chosen, I've chosen Jesus
(Oh yes I have chosen Jesus)
I've chosen, I've chosen, I've chosen my Jesus
(Oh yes I have chosen Jesus)
And you my brother (choose today)
My sister (choose today)
Choose today (oh yes I have chosen Jesus)
And you my brother (choose today)
My sister (choose today)
Choose today (oh yes I have chosen Jesus)
Tchakua, tchakua, tchakua leo
(Mimi natchakua Masiya)
Tchakua, tchakua, tchakua leo
(Mimi natchakua Masiya)
Wewe baba (tchakua)
Wewe mama (tchakua)
Leo leo (mimi natchakua Masiya)
Wewe ndugu (tchakua)
Wewe dada (tchakua)
Leo leo (mimi natchakua Masiya)
Tchakua leo (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Tchakua leo (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Tchakua leo (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Tchakua leo, oh leo (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Tchakua leo, tchakua leo (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Mimi na dada wangu tutamtumikia Bwana (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Mimi na dada wangu tutamtumikia (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Mimi na watoto wangu tutamtumikia, eh (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Tchakua leo, oh leo (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Tchakua leo, aah (Mungu wangu leo Mungu wangu)
Saa inaenea Baba shuka leo
(Saa inaenea Baba shuka leo)
Saa inaenea Baba shusha moto
(Saa inaenea Baba shuka leo)
Saa inaenea Baba tenda miujiza
(Saa inaenea Baba shuka leo)
Saa inaenea nataka nione miujiza yote
(Saa inaenea Baba shuka leo)
Saa inaenea Baba shuka leo
(Saa inaenea Baba shuka leo)
Saa inaenea nataka nione miujiza leo
(Saa inaenea Baba shuka leo)
Saa inaenea Baba tenda miujiza leo
(Saa inaenea Baba shuka leo)
Saa inaenea nataka nione miujiza leo
(Saa inaenea Baba shuka leo), Aah
Aah (leo)
Aah (leo)
Aah (leo)
Aah (leo)
Nataka nione mkono yako (leo), leo (leo)
Nataka nione mkono yako (leo), leo (leo)
Nataka nione mkono yako (leo), leo (leo)
Nataka nione mkono yako (leo), leo (leo)
Ah, leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Ah leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Ah leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Nataka nione mkono yako (leo), leo (leo)
Nataka nione miujiza leo (leo), leo (leo)
Ah leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Aya-ya-ya-ya-ya-ya-ya-ya wa!
Est-ce que tu peux pousser des cris de joie?
Aah, écpoute
Shetani anapata mambo leo (anapata mambo)
Ma-ma-ma-ma-ma-ma ai!
Shetani anapata haya leo (anapata haya)
Shetani anapata mambo leo (anapata mambo)
Shetani kinamuuma kinamuuma (anapata mambo)
Il a touché l'intouchable, anapata mambo (anapata mambo)
Shetani anapata haya leo (anapata haya)
Il a touché l'intouchable, anapata haya (anapata haya)
Il a bamba l'imbabable anapata haya (anapata haya)
Ah, Shetani anapata mambo leo (anapata mambo)
Shetani kinamuuma kinamuuma (anapata mambo)
Shetani kinamuvimba kinamuvimba (anapata mambo)
Shetani anapata mambo leo (anapata mambo)
Ai kinamuuma kinamuuma (anapata mambo)
Ai kinamuuma kinamuuma (anapata mambo)
Hiki kinamuuma (anapata mambo)
Ah Kinamuuma (anapata mambo)
Kinamuuma (anapata mambo)
Kinamuuma (anapata mambo)
Shetani anapata haya leo (anapata haya)
Shetani anapata haya leo (anapata haya)
Shetani kinamuuma kinamuvimba (anapata haya)
Shetani kinamuuma kinamuvimba (anapata haya)
Ah Shetani anapata mambo leo (anapata mambo)
Ah Shetani anapata mambo leo (anapata mambo)
Eh anapata mambo, aah (anapata mambo)
Eh anapata mambo (anapata mambo)
Eh anapata mambo (anapata mambo)
Yeye anapata mambo (anapata mambo)
Aah kinamuuma (anapata mambo)
Hiki kinamuuma (anapata mambo)
Aah kinamuuma (anapata mambo)
Hiki kinamuuma (anapata mambo)
Eh anapata mambo (anapata mambo)
En tout cas anapata mambo (anapata mambo)
Anapata mambo (anapata mambo)
Aya-ya-ya-ya-ya-ya-ya-ya
Aha!
Ah, siwezi kumwacha Yesu na destroyer na ujana wote
(Siwezi kumwacha Yesu na destroyer na ujana wote)
Siwezi kumwacha Yesu na destroyer na ujana wote
(Siwezi kumwacha Yesu na destroyer na ujana wote)
Mungu aliniiita, aliniiita na mutoto bote
(Siwezi kuwacha na destroyer na ujana wote)
Aliniiita aliniiita na mutoto bote
(Siwezi kuwacha Yesu na destroyer na ujana wote)
Siwezi kuwacha Yesu na destroyer na mutoto bote
(Siwezi kuwacha Yesu na destroyer na ujana wote)
Aliniiita aliniiita na mutoto bote
(Siwezi kuwacha Yesu na destroyer na ujana wote)
Aah (leo)
Aah (leo)
Leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Aah Leo njoo leo (leo)
Leo njoo leo (leo)
Aah Leo njoo leo (leo)
Aah
Show, show, show (show)
Est-ce que tu peux faire ceci avec nous? On y va
Anapanguzaka mashozi ya bale bako naliya
Ana toshanaka mukifungo ya buloji ya jamaa
Eyih Yesu eh, eh-le-le-le-le-le-le
Gauche, droite, une, deux
Gauche, droite, une, deux
Gauche, droite, une, deux
Gauche, droite, on y va
On y va, one, two, three, let's go
Est-ce que tu peux faire des cris de joie?
Encore une fois, on y va, one, two
Encore une fois, encore une fois
On y va, one, two, three, let's go
Gauche, droite, gauche, droite
Gauche, droite, gauche, droite
On y va
Est-ce que tu peux pousser les cris de joie?
Eh, anapanguzaka mashozi ya bale bako naliya
Ana toshanaka mukifungo ya buloji ya jamaa
Eyih Yesu eh, eh-le-le-le-le-le-le
Eyih Yesu eh, eh-le-le-le-le-le-le
Est-ce que tu peux exagérer? wooh
One, two, three eh
Written by: Deborah Lukalu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...