album cover
Rusha
2
Hip-Hop/Rap
Rusha was released on February 19, 2025 by Jarateng Sound Studios / Jarateng Enterprise, Ltd as a part of the album OGOPA
album cover
AlbumOGOPA
Release DateFebruary 19, 2025
LabelJarateng Sound Studios / Jarateng Enterprise, Ltd
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM76

Credits

PERFORMING ARTISTS
Boeyylee
Boeyylee
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Bryan Charles Maikuri
Bryan Charles Maikuri
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Zevon
Zevon
Producer

Lyrics

Kama unakuja kuja
Kama unamuja muja
Kama unarusha rusha
Kama unarusha rusha
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Niko juu ya gunga
Nilisare aluta
Niko juu ya gunga 247 mi na purura
Njumi ni tiki tiki
Niliasare mapuma
Mi nko busy
Sina time ya kuzurura
Hop ndani ya gene full speed si tunazidi
Hop ndani ya stu mi na lee tunaunda mziki
Hii ndio winning team
On top kwa ligi
Sprite na bennylean ndani ya gut naskia tifi
Kama unakuja kuja
Kama unamuja muja
Kama unarusha rusha
Kama unarusha rusha
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Talkin to your girl nika nimefinya mapua
Vile nacheki we bitch hata we unajua
Hata huyo msupa anajua
Hata huyu msee anajua
Hata ule msee anajua
Uhh
Kila msee anajua
Uh
Mbogi ni ndogo ka mapua
Get off my dick kama sure
Uhh
And go ahead and check your self buda unaeza jisukasua
Ati akili hukuwanga nywele buda nashuka matuta
Shawty hujuanga nakuwa na drip boeyylee hukuanga mbuta
Uhh
Ganji nakunja nasunda
Mali nakula na uma
Nikitokea kwa feature nashine
Boeyylee hukuwanga jua
Hata huyu msee anajua
Hata ule msee anajua
Cheki ule pale anajua
Kila msee anajua
Uhh
Kama unakuja kuja
Kama unamuja muja
Kama unarusha rusha
Kama unarusha rusha
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Kama unakuja kuja
Kama unamuja muja
Kama unarusha rusha
Kama unarusha rusha
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Kama unarusha pia mi narusha
Nakuvunja mfupa
Written by: Bryan Charles Maikuri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...