album cover
Ogopa
1
Hip-Hop/Rap
Ogopa was released on February 19, 2025 by Jarateng Sound Studios / Jarateng Enterprise, Ltd as a part of the album OGOPA
album cover
AlbumOGOPA
Release DateFebruary 19, 2025
LabelJarateng Sound Studios / Jarateng Enterprise, Ltd
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM171

Credits

PERFORMING ARTISTS
Boeyylee
Boeyylee
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Bryan Charles Maikuri
Bryan Charles Maikuri
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Drop Boy
Drop Boy
Producer

Lyrics

Nasiunaogopa kwani itakufanyia nini?
Mbona unatetemeka jo ni ka unaskia baridi
Nasiunaogopa kwani itakufanyia nini?
Mbona unatetemeka jo ni ka unaskia baridi
Nasiunaogopa
Huh Huh
Nasiunaogopa
Huh Huh Huh
Nasiunaogopa
Huh Huh
Nasiunaogopa
Huh Huh Huh
Yea
Usicheze joh na mbogi
Utabaki na vidonda
Me nadai manoti nawabeba kama donda
Kwa tona nani mbrave niko kwa grao ka maradona
Wakinicheki wanatoroka
Wanabaki wamekula corner
Aliskia nduru za kuaminika
Anajua Ninja
Kwa kumakinika
Sa
Anaogopa
Nadai kumfinya proper
Alafu nistulie Bmv
Swazi ndani ya boza
Wanakaa wanaskia baridi
BMV ndio the ice
BMV ndio the price
Unafai ufike sai
Ata kaa uko deaf
Utacheki signs
Hata ka uko blind nikikucheki it′s on sight
Na
Trap kwa hii nyumba ya mabati
Heri nibaki bila kwa shingo sivai mabati
Niko sides za mchana nyota juu ya white mi na Ongati
Next after next gode nilipita kuwa addict
Nasiunaogopa kwani itakufanyia nini?
Mbona unatetemeka jo ni ka unaskia baridi
Nasiunaogopa kwani itakufanyia nini?
Mbona unatetemeka jo ni ka unaskia baridi
Nasiunaogopa
Huh Huh
Nasiunaogopa
Huh Huh Huh
Nasiunaogopa
Huh Huh
Nasiunaogopa
Huh Huh Huh
Yea
Written by: Bryan Charles Maikuri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...