album cover
Maliza Uende
1
Hip-Hop
Maliza Uende was released on March 7, 2025 by Black Market Records as a part of the album My Own Style
album cover
Release DateMarch 7, 2025
LabelBlack Market Records
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM94

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Neu Alka
Neu Alka
Performer
Dennis Muhoro
Dennis Muhoro
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Dennis Muhoro
Dennis Muhoro
Songwriter

Lyrics

Niko na tiree na nadai kuichoma
Ati Neu Alka ako na msupa buda koma
Naskizia kuna wenye hawajai niona
Niliachwa na wa Nai so na roll na wa Dodoma
Sijui jibu na huyu mode amenisoma
Ati niende mbele ju nakuanga kwa ka corner
Na niulize why time nimerada maswali huwa haulizi unapenda tu madrama
Maliza wueh wueh wueh (Maliza Uende )
Maliza wueh wueh wueh (Maliza Uende )
Maliza wueh wueh wueh (Maliza Uende )
Maliza wueh wueh wueh (Maliza Uende )
Hii tulianza kama jokes,yaani ki gangster mistari inawachoke
Kutoka mwanzo kuna venye ulituboo
Ati nani anaitwa nani kwanza mimi sikutalk
Alinipea poa kisha akanisnitch
Kwa depa Niko na kesi kama thao sikucheat
Ju ya venye wameharibu haka kajina naitwa witch
Mi na usanii tutaswitch colour gani inaitwa pitch
Maliza Uende ju kilami huwa siradi
We ni mzungu na maluku huwa huclady
Mi sina ganji nikuspoil kunywa maji unapenda tu kuwachocha mi sikuangi na kipaji
Kwani hujielewi umekaa hapo usome chem,ni aje unaomba lesson after lunch na ni ya chem
Kuzima ni kawaida hadi huwa hatufeel ashamed
Mistari tunachaii
Sitachocha Niko na mdenge na ni mkali kama Khali
Ni rapper ako na mali ameshika mpaka Mali
Ni mtamu kama asali haendi church ye husali
Nikimshika anajiskia na anasema mi ni mfunny
Ni aje mi ni mfunny mi nko sure haiwezekani
Ati love do exist na hajai niita honey
Niambie nikutumie namba ya mpesa joh ni gani
Mistari kwa sahani niliuzia manzi flani
Niko na ndae mpya haters wanakatch
Umebonga sana buda ukimaliza unaeza patch
Niko na followers wengi tiktok na ni punch
Mnifikishie thao ndio ni nice tu for once
Mshaniskia ni bidii naitia, mistari ikiwa mingi kuna venye nitawaitia
Siasa zinatuboo rumours kwanza kanyangia
Unaskia haiyaa chocha zao ziukuwa wierd
Written by: Dennis Muhoro
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...