album cover
Sawa
7
Afro-Pop
Sawa was released on March 15, 2025 by Mastermind Music as a part of the album Dedication
album cover
Release DateMarch 15, 2025
LabelMastermind Music
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM171

Credits

PERFORMING ARTISTS
Hance Paul
Hance Paul
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Hance Paul
Hance Paul
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Stevekingbeatz
Stevekingbeatz
Engineer

Lyrics

Heeeeey No No No no no hey iiieeeee
Master mind Music
Ye ye
Nilijua mapenzi kitabu kizuri cha kuadithiwa
Kumbe Siri ya penzi ni chungu tamu
Mwisho unapoingia
Yanaanza maumivu
Pindi yanapozidi mazoea yah yah
Moyo hufa ganzi
Wala husikii lakuambiwa
Yah yah aaaaaah
Na Na Na Na
Usichukie Darling niambie eeeh
Niambie niambie ili nijue
Kama penzi basi mwisho na hatuendelei
Maana Moyo umechoka na huongei
Usichukie Darling Nambie eeeh niambie niambie ili nijue
Kama penzi basi mwisho na hatuendelei
Mana Moyo unachoka na hatuongei yeeeh yeeeeh yeeeh yeeeeh
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa Sawa sawa ila nitazoea
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa sawa sawa ila nitazoea
Aaaaaaaahh
Fungua mlango wa mateso usinitese mi adamu
Tunda nimekula ila sina tabasamu
Moyo umebaki machozi jasho na damu
Mahakama ya mapenzi mpenzi we Ndo hakimu
Kimbunga cha huzuni kinazunguka kichwa changu
Na volkano ya mateso inalipua Moyo wangu
Kipofu nimeona hitimisho la penzi langu
Kwenye kaburi nimeingia mwisho wa maisha yangu
Kuku nimemfuga amekuwa amegeuka mwewe
Naongea peke yangu leo nipo mwenyewe
Usichukie Darling niambie eeeeh
Niambie Niambie ili nijue
Kama penzi basi mwisho na hatuendelei
Maana Moyo umechoka na hauongei
Usichukie Darling niambie eeeh niambie niambie ili nijue
Kama penzi basi mwisho na hatuendelei
Mana Moyo unachoka na hatuongei ye ye ye ye
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa sawa sawa ila nitazoea
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa sawa sawa ila nitazoea yeye
Zile ahadi mbona sizioni tulizopanga mimi na wewe
Ulizonipa Jana
Yamebaki kuwa maumivu sura kuficha kwa jirani na macho siwezi ona
Zile ahadi mbona sizioni tulizopanga mimi na wewe
Ulizonipa jana
Yamebaki kuwa maumivu sura kuficha kwa jirani na macho siwezi ona
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa sawa sawa ila nitazoea
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa sawa sawa ila nitazoea
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa sawa sawa ila nitazoea
Baby sawa sawa baby sawa sawa
Baby sawa sawa sawa ila nitazoea
Written by: Hance Paul
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...