album cover
Mwache
album cover
Mwache was released on March 13, 2025 by Black Market Records as a part of the album Mwache - Single
March 13, 2025
LabelBlack Market Records
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Akikusumbua muache
Sisi huku nje twakusubiri
Huyo sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Huyo sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Acha moyo usukume damu tu
Bora yupo wakunitoa kutu
Nilizaliwa nijitume mi SI wa mtu
Mapenzi yana ncha usithubutu
Eeeeeh eeh
Siumizi kichwa,Siumizi roho
Tazama picha sio kama ya before
Sikuhizi nanenepa furaha njoo na
Sitaki kufa ju ya penzi afadhali doo
Huyo sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Huyo sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Sitaki stress
You know am the best
Sijakosa kitu so don't put me to text
Mi sio mama yako
Ukichoka nenda zako
Sitalia ubaya sitaskia
I am ready to love mmmmh
But najipenda enough put no one above
Mapenzi siku hizi
Utafanya tizi
Wacha ni relax
Nijionee vipindi sema
Huyo sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Huyo sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Sio mama yako
Sio baba yako
Sio ndugu yako
Asikuchanganye
Written by: Julius Baya Charo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...