album cover
Si Nguo
album cover
Si Nguo was released on April 30, 2013 by Blue Pie Records USA as a part of the album Zilizopendwa Wazee Wa Kazi
April 30, 2013
LabelBlue Pie Records USA
BPM122
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Chorus]
Si nguo utaomba mtu
Si nguo utaomba mtu
Mtoto si nguo utaomba mtu baba
Kosa wako utalia sana
Kosa wako utalia sana
Ukikosa wako eeh utalia sana baba
Maskini sina wangu weeh
Maskini mi sina wangu weeh
Nakosa wangu eeh mi nalia sana mama
[Bridge]
Tukatike isikuti tukatike
Mwana wa ingo twende Kakamega
Omulila wanje ne mwana wa mbere
Omulila wanje ne mwana wa ingo
Tukatike isikuti tukatike
Tukatike omutimbo
[Chorus]
Si nguo utaomba mtu
Si nguo utaomba mtu
Mtoto si nguo utaomba mtu mama
Kosa wako utalia sana
Kosa wako utalia sana
Ukikosa wako eeh utalia sana mama
Maskini sina wangu weeh
Maskini mi sina wangu weeh
Nakosa wangu eeh mi nalia sana mama
[Bridge]
Tukatike omutimbo tukatike
Tukatike omutimbo tukatike
Tukatike isikuti tukatike
[Chorus]
Si nguo utaomba mtu
Si nguo utaomba mtu
Mtoto si nguo utaomba mtu baba
Kosa wako utalia sana
Kosa wako utalia sana
Ukikosa wako eeh utalia sana baba
Maskini sina wangu weeh
Maskini sina wangu weeh
Nakosa wangu eeh mi nalia sana mama
[Outro]
Si nguo utaomba mtu
Si nguo utaomba mtu
Mtoto si nguo utaomba mtu mama
Written by: John Katana Harrison, Them Mushrooms
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...