album cover
Huruma
album cover
Huruma was released on March 15, 2025 by 3027341 Records DK as a part of the album THE CHOSEN - EP
March 15, 2025
Label3027341 Records DK
LanguageEnglish
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Eeeh
Usinione nina cheka leo
Niliko toka mi nimbali sana
Yesu kaniokota kani safisha
Upendo wake kwangu
Niwa mi lele
Acha niimbe nimwimbie bwana
Acha nisifu nimsifiye bwana
Acha niimbe nimwimbie bwana
Acha nisifu nimsifiye bwana
Joni wote
Mliyo na mizigo
Leteni kwake anaweza eeh
Yesu ni mungu
Si mwana damu ( Oh nana nanana eeh)
Basi
Kwakuwa yesu
Aliteswa katika mwlili wake
Nanyi nanyi jivikeni silaha yaniya ile ile eeh
Ewe kijana ungali nanguvu
Mtumikiye mungu wako
Neema naiwe kwenu nyote mnaye mtumikia bwana
Aya dunia nima pitoo
Tumtumikie bwana wetu
Kama kuishi uto ishi milele tumtumikie bwana yesu
We Eeh
Joni wote
Mliyo na mizigo
Leteni kwake anaweza eeh
Yesu ni mungu
Si mwana damu ( Oh nana nanana eeh)
Basi
Kwakuwa yesu
Aliteswa katika mwlili wake
Nanyi nanyi jivikeni silaha yaniya ile ile eeh
Ouu uruma
Ouu uruma
Ouu uruma
Ouu uruma
Ouu uruma
Ouu uruma
Ouu uruma
Ouu uruma
Written by: Pierre Chanel
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...