Credits

PERFORMING ARTISTS
CngaPool
CngaPool
Piano
COMPOSITION & LYRICS
Joram Charz Ndiu
Joram Charz Ndiu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
CngaPool
CngaPool
Producer

Lyrics

Ah yani nawaza nijinyonge
Mnielekeze wapi figo wananunua
Ama niuze kidole
Nipate pesa japo kujikwamua
Nikomae msaka tonge
Wenda tapata siku nikatanua
Niwe mlevi wa pombe
Shida nikiwa soba zinajirudia
Aah
Yani natapa tapa
Mfa maji
Kipato hakikizi mahitaji
Natafuta yakula tu na kodi
Kipato hakikizi mahitaji
Japo mungu we hujibu kwa wakati
Basi ngoja nizidishe mitikikasi
Wenda nita score
Kwa kona au penalty
Nisign niwe dmk niwe safi
Aya maisha bana
Utazani yana wenyewe
Waweza kujiona msindikizaji
Kushuhudia we unyimwe
Wenzako wapewe
Yani huwe mpenzi mtazamaji
Bibi anasema nisikate tamaa
Ipo siku
Yani niingoje mbaka yesu akirudi
Niende hata kwa mwamposa
Kila siku
Moyo nipige konde nizidishe na juhudi
Yani natapa tapa mfa maji
Kipato akikizi mahitaji
Natafuta yakula tu nakodi
Kipato akikizi mahitaji
E baba fungua milango
Milango yabaraka
E baba fungua milango
Nipate nachotaka
E baba fungua milango eeh
Nishachoka mi kulia eeh
Unifute machozi unifute eh eh
Naamini oh oh oh oh oh (Ameni)
Naamini oh oh (Aameeni)
Naamini oh oh oh oh oh (Amen)
Naamini oh oh Aameeni
Aiye iye eeh
Maisha yadunia bila pesa ni uongo
Hakuna hata atakae kutaka
Connection hili kupata mchongo
Ukienda kichwa kichwa wanamata
Aah
Naskia kuna freemason
Mawazo yasiende uko nikakufuru
Bora nisake kwa jasho
Atanibariki mola nitaiona nuru
Maisha yangu ni mziki
Mjini sina kazi yamaana
Yani sina hata cheti cha form four
Mziki we ndo baba we ndo mama
Uniondoee kwa dhiki
Dharau masimango na lawama
Mziki we ndo papa we ndo mama
We ndo mama aaah
E baba fungua milango
Milango yabaraka
E baba fungua milango
Nipate nachotaka
E baba fungua milango eeh
Nishachoka mi kulia eeh
Unifute machozi unifute eh eh
Naamini oh oh oh oh oh (Ameni)
Naamini oh oh (Aameeni)
Naamini oh oh oh oh oh (Amen)
Naamini oh oh Aameeni
Written by: Joram Charz Ndiu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...