album cover
AMINA
album cover
AMINA was released on March 28, 2025 by BXTRA RECORDS as a part of the album Amina - Single
March 28, 2025
LabelBXTRA RECORDS
BPM93
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Amina
Weeh niite mfalume
Kula kwa jasho iyo Nikiwa na
Niite Jetty (eyoo kenny)
Mvua yangu jua langu mi
Nipate nile na wewe eeh eh eeh
Lakini ukaona poa
Ukaniacha mwenyewe eeh eh eeh
Kisa wazazi wako we
Wametaka uolewe eeh eeh
Maumivu uliyonipa mi
Bado kidogo nikiuwe eeh eh eeh
Maneno ya mtaa
Ameachwa masikini eeh eh eh
Mi fukara hali duni
Eti nitakupa nini eeh eh eeh
Umasikini wangu mi
Sio kama napenda ila mungu ajapanga
Lavel yangu kupanda
Na ndo mana mi
Sichoki kupambana naamini ipo siku atabariki
Umasikini wangu mi
Sio kama napenda ila mungu ajapanga
Lavel yangu kupanda
Na ndo mana mi
Sichoki kupambana naamini ipo siku atabariki labana
Aminaa aaah ah!!
Aminaa aaah ah!!
Tuimbe Aminaa aaah ah!!
Aminaa aaah ah!!
Tucheze Aminaa aaah ah!!
Aminaa aaah ah!!
Noma
Inauma sana mwanamke unaempenda anakuacha solemba kisa tamaa ya mali
Nomaa sana Ata ukimwambia kitu ye anakuona boya Anaamua kuolewa
Mungu baba Nijalie kimwali nikatoe mahali
Nimlete nyumbani
Tule tembele dagaa mchicha kisamvu
Alidhike na yangu hali
Mungu baba Nijalie kimwali nikatoe mahali
Nimlete nyumbani
Umasikini wangu mi
Sio kama napenda ila mungu ajapanga
Lavel yangu kupanda
Na ndo mana mi
Sichoki kupambana naamini ipo siku atabariki
Umasikini wangu mi
Sio kama napenda ila mungu ajapanga
Lavel yangu kupanda
Na ndo mana mi
Sichoki kupambana naamini ipo siku atabariki labana
Aminaa aaah ah!!
Aminaa aaah ah!!
Tuimbe Aminaa aaah ah!!
Aminaa aaah ah!!
Tucheze Aminaa aaah ah!!
Aminaa aaah ah!!
Noma
Weeh!! Twe twe twe twe twe twe twe twe!!
Muite athumani kaungu mzramo wa dubai
Eeeeeeh
Juu juu juu juu Utaipenda tu
Weuwee Muite producer kenny vidole vya biashara Aaah Weeeh
Dj msolopa dj kidogo dogo Iyoo
Written by: Eyoo kenny, Jetty Mc, Msaga Sumu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...