album cover
Comando
37
Christian & Gospel
Comando was released on April 10, 2025 by MGATHA as a part of the album Comando - Single
album cover
Release DateApril 10, 2025
LabelMGATHA
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bebycia Ramuel
Bebycia Ramuel
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Bebycia Ramuel
Bebycia Ramuel
Songwriter

Lyrics

Oooh ooh yeeee eh
Baba yangu ni komando
Komando komando komando
YESU ni komando
Komando komando
Nilikutana na mengi magumu
Yalinifanya nishindwe
Nikashindwa kwendelea nikamwaga machozi iiih
Nilitukanwa matusi mengi Mimi
Ilimradi wanishushe
Kumbe hata kimya nijibu kwa mjinga sikuwajibu chochote
Mimi sipigani sipigani ananipigania Yesu
Ninalindwa na yeye Sina mashaka yeyote
Tena sishindani sishindani ananishindania Yesu nimefunikwa na ngao yake sinahofu tena
Mmh Baba yangu ni komando
Komando komando komando
YESU ni komando
Komando komando
Baba yangu ni komando
Komando komando komando
YESU ni komando
Komando komando
Oohh nilikutana na mambo mengi Sana
Sikuyaoana ya maana nikamwachia yee baba akayafanya ya maana
Ni vita gani apigane na asishinde
Anazo nguvu na mamlaka toka juuu
Hizo nguvu hekima vyote kanipa yeye ujasiri marifa vyote kanipa yeye
Mimi sipigani sipigani ananipigania Yesu
Ninalindwa na yeye Sina mashaka yeyote
Tena sishindani sishindani ananishindania Yesu nimefunikwa na ngao yake sinahofu tena
Mmh Baba yangu ni komando
Komando komando komando
YESU ni komando
Komando komando
Baba yangu ni komando
Komando komando komando
YESU ni komando
Komando komando
Komando komando yeeee komando komando komando
Written by: Bebycia Ramuel
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...