album cover
Heather
Hip-Hop/Rap
Heather was released on April 9, 2025 by Eugenio as a part of the album Heather - Single
album cover
Release DateApril 9, 2025
LabelEugenio
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Eugenio
Eugenio
Rap
COMPOSITION & LYRICS
Eugenio
Eugenio
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S1fa
S1fa
Producer

Lyrics

Mresh ana hela,anatoka Fedha,
Gari ni velar, jina ni Heather,
Yeye ni ngoko,mimi ni feather,
Vile namfunika,ndani ya hii weather,
Yaani amejaza,design ya gereza,
Hii si mchezo,ukidhani nacheza,
Hii si zile za,never have I ever,
Mkono kwenye stick kama dereva,
Ako na kioven, ndani ya hiyo dera,
Mpaka nachizi,yawa omera!,
Mwanabiashara,vile nauza sera,
Me nadandia dandia, kama kamagera,
Me naziwasha,ita wazima moto,
Psyche inapanda,kaa kipimajoto,
Msupa amepika,vitu rojorojo,
Si tuko close kama watu korogocho,
Niaje Heather,
Lips ni redder,
Jacko leather,
Aroma vela,
Roho yangu ngeta,
Riba za kangeta,
Itakuwa better,
If I see you later,
Me ninataka,mresh wa wa kihabesha,
Kama ni mkristo,tutapiga kesha,
Kama ni mhindi,tutaunda pesa,
Ndo tuwache legacy,hata na impreza,
Mpanda miti, hula mapera,
I'm on some thick shit,kule Mandera,
Life of a bachelor, maisha ya kapera,
Kaa unanidai, mi amor espera,
Written by: Eugene Kiprop
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...