Music Video
Music Video
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Boaz Asongo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
tone touchez
Producer
Lyrics
Nisha sema nakupenda nataka nije kwenu wanioneee mwambiye mama ninalete zawadi vitenge na n'gombee halafu baba hasijali kunu vigine mpaka na pombee mahana mi mda wote nataka nikwone ma babe nikuoneee
Eeeh
Usije kuniacha mimi ntapatwa na presha utaniumiza moyo
Tena usije kwenda mbali nami usinipe kisogo punguza uchoyo ila wewe wewe
Kama umesha waiwa mwenzako nijuzee
Mahana navyo kupenda weee penzini nine
Ingia usiniumizee
Am in love am in love
Mwenzako nimezama mazimaaa
Am in love am in love
Ah safari yetu mwisho kiyamaa
am in love am in love
Am in love
Am in love am in love
I swear a go be your commando
Commando oh oh commando
Oh oh
Yee A go fight for your matter
Babe babe babe
Mapenzi haya jaribiwi nanikipenda
Napenda kweli sina utani mamaaa
Mmmh
Nachunga mama usini kejeli ukanikataa utanikatiliiii utaniuaa mama ah eeh
mapenzi safari ndefu yafaa tusonge
pamoja Pamoja
Marumbano Vichefuchefu chunga mama usije niumiza
Twenda pamoja safari usiombe popo
Ukawa kicheche babe ukawa popo
Penzi ukalicheza kidali popo roho itaniuma
Mwenzioo oh babe babe
Kama umesha waiwa mwenzako nijuzee
Mahana navyo kupenda weee penzini nine
Ingia usiniumizee
Am in love am in love
Mwenzako nimezama mazimaaa
Am in love am in love
Ah safari yetu mwisho kiyamaa
am in love am in love
Am in love
Am in love am in love
Written by: Boaz Asongo